Syndicate content
Manchester City
12/05/2013 - UINGEREZA

Wigan yaizamisha Man City katika fainali za kombe la FA

Klabu ya soka ya Manchester City imepata kipigo cha bao1-0 toka kwa Wigan Athletic katika mechi ya fainali ya kombe la FA iliyopigwa jumamosi hii kwenye dimba la Wembley.

Mshambuliaji wa Tottenham Gylfi Sigurdsson akifunga goli la kusawazisha dhidi ya Chelsea
09/05/2013 - UINGEREZA-SOKA

Mchuano wa kusaka nafasi ya kufuzu Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya wazidi baada ya Chelsea kutoka sare na Tottenham

Ushindani umeendelea kuwa mkali katika kusaka nafasi ya tatu na ya nne kwenye Ligi Kuu nchini Uingereza kwa timu tatu kuendelea kuchuana vikali baada ya Chelsea na Tottenham kumaliza mchezo wao ...

Mshambuliaji wa Manchester City Edin Dzeko akifunga goli pekee dhidi ya West Brom
08/05/2013 - UINGEREZA-SOKA

Manchester City yapata tiketi ya kushiriki Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya huku Wigan wakijichimbia kaburi ya kushuka daraja

Klabu ya Manchester City imefanikiwa kuweka kibindoni tiketi yake ya kushiriki Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya kufuatia ushindi wa goli moja kwa nunge mbele ya West Bromwich Albino.

23/04/2013 - SOKA

Mabao ya Van Persie yaipaisha Manchester United

Mshambuliaji wa kimataifa wa Uholanzi Robin Van Persie ameiwezesha klabu ya soka ya Uingereza Manchester United kutwaa ubingwa wa 20 wa ligi kuu ya soka ya nchini Uingereza.

19/04/2013 - SOKA

Ferguson akanusha uvumi kuwa Wayne Rooney anaelekea Paris Saint-Germain

Kocha wa klabu ya soka ya Uingereza ya Manchester United Alex Ferguson amekanusha uvumi kuwa mshambulizi matata wa klabu hiyo Wayne Rooney yupo njiani kuhamia klabu ya Ufaransa ya Paris ...

18/04/2013 - SOKA

Manchester United waomba City kufungwa mchuano mmoja ili wajihakikishie ubingwa

Manchester United huenda wakanyakua ubingwa wa ligi kuu ya soka nchini Uingereza wiki ijayo ikiwa wapinzani wao wa karibu Manchester City watapoteza mchuano wao dhidi ya Tottenham Hotsours ...

16/04/2013 - Soka

Manchester City na Wigan kumenyana kabla ya fainali ya kombe la FA

Manchester City na Wigan FC watamenyana katika mchuano wa ligi kuu nchini Uingereza kabla ya kuchuana katika fainali ya kombe la FA mwezi ujao katika uwanja wa Wembley.

15/04/2013 - SOKA

Arsenal yanuia kumaliza miongoni mwa timu nne bora katika ligi kuu ya soka nchini Uingereza

Kocha wa Klabu ya Arsenal nchini Uingereza Arsene Wenger amewaambia wachezaji wake kuendelea kutia bidii ili kumaliza msimu huu wa soka kati ya nne bora.
 

06/04/2013 - SOKA

Arsenal kushuka dimbani kukabiliana na West Brom jumamosi hii

Kocha wa klabu ya soka ya Arsenal, Arsene Wenger amesema bado hajakata tamaa hata kama kikosi chache hakijashika nafasi miongoni mwa timu nne zinazoshika nafasi ya juu katika ligi ya mabingwa ...

Mshambuliaji wa Manchester United Robin Van Persie akiwa mazoezini
04/04/2013 - SOKA-UINGEREZA

Kocha wa Manchester United Alex Ferguson amtaka Mshambuliaji Van Persie kurejesha makali yake ya ufungaji

Kocha Mkuu wa Klabu ya Manchester United Sir Alex Ferguson amemgeukia Mshambuliaji wa Kimataifa wa Uholanzi anayekipiga katika timu yake Robin Van Persie kutokata tamaa licha ya kucheza micheo ...

Close