Klabu ya Manchester United imefanikiwa kumtangaza mrithi wa Sir Alex Ferguson aliyetangaza kustaafu kazi ya kukinoa kikosi hicho mwishoni mwa msimu huu baada ya kufanya hivyo kwa kipindi cha miaka ...
Klabu ya Manchester United imepuuzilia mbali uvumi uliozagaa ya kwamba Mshambuliaji wa Kimataifa wa Uingereza anayekipiga katika timu hiyo Wayne Rooney atauzwa mwishoni mwa msimu huu.
Ushindani umeendelea kuwa mkali katika kusaka nafasi ya tatu na ya nne kwenye Ligi Kuu nchini Uingereza kwa timu tatu kuendelea kuchuana vikali baada ya Chelsea na Tottenham kumaliza mchezo wao ...
Kocha Mkuu wa Manchester United Sir Alex Ferguson ametangaza ataachia wadhifa wake mwishoni mwa msimu huu baada ya kukinoa kikosi hicho kwa kipindi cha miaka 26 na kuipa mataji 13 ya Ligi Kuu ...
Kocha wa Mpito wa Chelsea Rafael Benitez anaamini wamekaribia kupata tiketi ya kushiriki kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya baada ya kuibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya ...
Meneja wa klabu ya soka ya Manchester United sir Alex ferguson amewataka wachezaji wake kuwa uhuru zaidi katika mechi za ligi kuu ya soka ya nchini Uingereza zilizosalia msimu huu kwani tayari ...
Mshambuliaji wa kimataifa wa Uholanzi Robin Van Persie ameiwezesha klabu ya soka ya Uingereza Manchester United kutwaa ubingwa wa 20 wa ligi kuu ya soka ya nchini Uingereza.
Kocha wa klabu ya soka ya Uingereza ya Manchester United Alex Ferguson amekanusha uvumi kuwa mshambulizi matata wa klabu hiyo Wayne Rooney yupo njiani kuhamia klabu ya Ufaransa ya Paris ...
Manchester United huenda wakanyakua ubingwa wa ligi kuu ya soka nchini Uingereza wiki ijayo ikiwa wapinzani wao wa karibu Manchester City watapoteza mchuano wao dhidi ya Tottenham Hotsours ...
Manchester City na Wigan FC watamenyana katika mchuano wa ligi kuu nchini Uingereza kabla ya kuchuana katika fainali ya kombe la FA mwezi ujao katika uwanja wa Wembley.