Nchi ya Iran hii leo imeandaa mkutano wa mataifa ishirini na tisa marafiki wa Syria, mkutano unaolenga kutafuta suluhu ya mgogoro wa Syria na kusitishwa kwa umwagaji damu nchini humo.
Rais wa Somalia Sharif Sheikh Ahmed amenusurika kifo baada ya Kundi la Wanamgambo wa Al Shabab kutekeleza shambulizi lililolenga msafara wake lakini Maofisa wa serikali wamethibitisha amefanikiwa ...