Mabingwa watetezi wa taji la Kagame katika kanda ya Afrika Mashariki na Kati CECAFA Yanga ya Tanzania imejumuishwa katika kundi la tatu pamoja na Express ya Uganda,Ports ya Djibouti na Vitalo la ...
Waasi wa Sudan wametangaza kuwa rasmi kuwa wanalilenga jimbo la Kordofan Kaskazini kama njia ya kujihami na kujilinda dhidi ya majeshi ya serikali huku wakijipanga kusonga mbele.
Sudan imenyooshewa kidole kuwa imekuwa ikimpatia hifadhi Kiongozi wa Jeshi la waasi wa Lord's Resistance Army LRA Joseph Kony, Ripoti ya Shirika moja nchini Marekani imeeleza.
Kiongozi wa Waasi katika Jimbo la Darfur,nchini Sudan Saleh Jerbo aliyeshtakiwa na mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita, ICC ameuawa mjini humo, Waasi na kikosi chake cha ulinzi ...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa UN Ban Ki-Moon amelaani mauaji ya askari mmoja wa kikosi cha Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika cha kulinda amani katika jimbo la Dahfur nchini Sudani.
Wanajeshi saba nchini Sudan waliohukumiwa jela miaka mitano kwa kupanga jaribio za kumpindua kijeshi rais Omar Al Bashir wameachiliwa huru siku chache baada ya kuhukumiwa jela.
Jeshi la Uganda la UPDF kwa mara nyingine tena limekanusha shutuma kutoka Serikali ya Khartoum kuwa linawaunga Mkono Waasi wanaopambana na serikali ya rais Omar al Bashir wenye kuwa na lengo la ...
Uingereza imeahidi pesa za ziada kwa serikali ya Darfur katika miaka mitatu ijayo ikiwa ni jitihada za kusaidia watu wa Sudan kuwa na uwezo wa kujitegemea, ahadi hiyo imetolewa katika mkutano wa ...
Mamlaka nchini Sudan imewaachia wafungwa sita wa kisiasa waliokuwa wanashikiliwa katika gereza la Kober ikiwa ni mwanzo wa utekelezaji wa agizo lililotolewa na Rais Omar Hassan Al Bashir ...