Syndicate content
Uingereza
Vyombo vya Habari nchini Uganda vimepata pigo baada ya Serikali kuvifungua vinne kipindi hiki Serikali ya Uingereza ikisema walimuua mwanajeshi wake ni magaidi
25/05/2013 - Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Vyombo vya Habari nchini Uganda vimepata pigo baada ya Serikali kuvifungua vinne kipindi hiki Serikali ya Uingereza ikisema walimuua mwanajeshi wake ni magaidi

Nchini Uganda Vyombo vya habari nchini humo vimefungwa na Jeshi la Polisi linalofanya msako wa kutaka kupata nyaraka zinazotaja uwepo wa njama za kutaka kuuawa kwa Viongozi wa Kijeshi, Serikali ya ...

Caroline Wozniack anatarajia kuumana na Laura Robinson katika michuano ya French Open
24/05/2013 - Michezo

French Open kupamba moto,ni Laura Robinson dhidi ya Caroline Wozniack

Mwanadada raia wa Uingereza na mcheza Tennis nambari moja Laura Robson anatarajia kumkabili bingwa wa zamani wa mchezo huo Caroline Wozniacki katika mzunguko wa awali wa michuano ya French Open ...

Waziri mkuu wa Uingereza David Cameron akizungumzia kuhusu usalama baada ya mauaji ya kikatili yaliyofanywa kwa mwanajeshi wa Uingereza
24/05/2013 - UINGEREZA

Watuhumiwa wawili washikiliwa na polisi Uingereza wakihusishwa na mauaji ya mwanajeshi

Polisi nchini Uingereza wamefanikiwa kuwakamata washukiwa wengine wawili zaidi kuhusiana na tukio la kushambuliwa na kuuawa kikatili kwa mwanajeshi wake mjini London ambapo makachero wa Uingereza ...

Waziri wa mambo ya kigeni wa Uingereza,William Hague
23/05/2013 - UINGEREZA-MASHARIKI YA KATI-

Waziri Hague aipa kipaumbele amani ya mashariki ya kati

Waziri wa mambo ya kigeni wa Uingereza William Hague amesema kuwa suala la amani kati ya israel na palestina linapewa kipaumbele wakati huu ambapo a,ekutana na waziri mkuu wa Israel Benjamin ...

Waziri mkuu wa Uingereza David Cameron amelazimika kukatisha ziara yake na kurudi London kukutana na wakuu wa usalama
23/05/2013

Waziri Cameron na wakuu wa usalama London wajadili tukio la kigaidi

Wakuu wa usalama nchini Uingereza wamefanya mkutano kujadili mauaji ya kikatili dhidi ya mwanajeshi wa Uingereza,ambayo yalitekelezwa na Watu wawili wanaodaiwa kuwa ni waislamu wenye msimamo ...

Waziri mkuu wa Uingereza David Cameron
14/05/2013 - SYRIA

Marekani na Uingereza zatilia mkazo ushirikiano wa Urusi katika kutatua mzozo wa Syria

Marekani na Uingereza wameendeleza shinikizo kwa Urusi ili iweze kushirikiana nao katika kuhakikisha wanapata suluhu ya mgogoro wa Syria huku msimamo wa mataifa hayo ukiwa wazi kwamba ni lazima ...

12/05/2013 - UINGEREZA

Wigan yaizamisha Man City katika fainali za kombe la FA

Klabu ya soka ya Manchester City imepata kipigo cha bao1-0 toka kwa Wigan Athletic katika mechi ya fainali ya kombe la FA iliyopigwa jumamosi hii kwenye dimba la Wembley.

Jeshi la Polisi nchini Tanzania limewakamata watu kumi na wawili wakihusishwa na shambulizi la bomu Arusha huku Mataifa 50 yakikutana Uingereza kusaka mbinu za kuisaidia Somalia
11/05/2013 - Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Jeshi la Polisi nchini Tanzania limewakamata watu kumi na wawili wakihusishwa na shambulizi la bomu Arusha huku Mataifa 50 yakikutana Uingereza kusaka mbinu za kuisaidia Somalia

Jeshi la Polisi nchini Tanzania linawashikilia watuhumiwa kumi na wawili wanaotajwa kuhusika kutekeleza shambulizi la bomu katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Joseph Mfanyakazi Parokia ya Olasiti ...

Mataifa 50 na Mashirika yamekutana nchini Uingereza katika mkutano wenye lengo la kuisaidia Somalia kujijenga upya baada ya kupitia vita vya zaidi ya miongo miwili
08/05/2013 - Mjadala wa Wiki

Mataifa 50 na Mashirika yamekutana nchini Uingereza katika mkutano wenye lengo la kuisaidia Somalia kujijenga upya baada ya kupitia vita vya zaidi ya miongo miwili

Mkutano wa kuisaidia nchi ya Somalia wafanyika nchini Uingereza na kuzileta pamoja nchi 50 pamoja na Mashirika ya Kimataifa lengo likiwa ni kushiriki kwenye juhudi za kuijenga upya nchi hiyo baada ...

Close