Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa UN, Ban Ki Moon amesisitiza kuharakishwa kwa operesheni ya kijeshi ya vikosi maalumu vya Umoja wa mataifa kukabiliana na uasi mashariki mwa jamuhuri ya demokrasia ...
Katibu mkuu wa umoja wa mataifa Ban Ki Moon na Urusi zimekubaliana kwamba mkutano wa amani kuhusu Syria lazima ufanyike haraka iwezekanavyo hata kama Urusi inapinga shinikizo la dunia kwamba ...
Katibu mkuu wa umoja wa mataifa Ban Ki Moon amemteua waziri wa zamani wa Kenya na mbunge Mukhisa Kituyi kuongoza taasisi ya biashara na maendeleo ya umoja huo UNCTAD wakati mkuu wa taasisi hiyo ...
Maelfu ya raia wa Bangladesh na Myanmar wameendelea kuhama katika maeneo ya pwani kufuatia hofu ya kimbunga cha Mahasen chenye kasi ya zaidi ya kilometa 100 kwa saa kinachotarajiwa kuikumba pwani ...
Walinda amani wa Umoja wa Mataifa wameonya kwamba ghasia na uporaji katika mji wa Pibor kwenye jimbo lenye mgogoro la Jonglei huko Sudan Kusini zimeendelea kuwa mbaya huku kukiwa na mapigano ya ...
Kundi la kwanza la wanajeshi 100 toka nchini Tanzania limewasili jumamosi hii katika eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC katika mpango wa amani wa Umoja wa Mataifa UN wa ...
Kikosi cha kwanza cha Wanajeshi wa Tanzania kinachoenda Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC kulinda amani na kukabiliana na Makundi ya Waasi kinaondoka siku ya alhamisi kikiwa na ...
Waathirika wa ugonjwa wa kipindupindu nchini Haiti wametoa siku sitini pekee kwa Umoja wa Mataifa UN kuanzisha mazungumzo nao juu ya kuwalipa fidia ya mabilioni ya dola na iwapo watashindwa ...
Mpatanishi wa Mgogoro wa Syria anayetambuliwa na Umoja wa Mataifa UN na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu Lakhdar Brahimi amepokea kwa mikono mawili makubaliano yaliyofikiwa baina ya Marekani na Urusi ya ...
Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud amesema taifa hilo haliwezi kuendelea iwapo halitaungwa mkono vya kutoshja na Jumuiya ya Kimataifa kipindi hiki wakianza kujijenga upya baada ya kupitia vita ...