Ulaya

Syndicate contentUlaya
Mkuu wa taasisi ya fedha kimataifa,IMF Christine Lagarde anakabiliwa na tuhuma za ufisadi
23/05/2013 - IMF-ULAYA

Mkuu wa IMF Christine Lagarde ahojiwa kuhusu tuhuma za ufisadi


Viongozi wa Mashtaka nchini Ufaransa wamemhoji Mkurugenzi Mkuu wa shirika la fedha duniani IMF Christine Lagarde kwa tuhuma za ufisadi alipokuwa waziri wa fedha nchini humo.

Waziri wa mambo ya kigeni wa Uingereza,William Hague
23/05/2013 - UINGEREZA-MASHARIKI YA KATI-

Waziri Hague aipa kipaumbele amani ya mashariki ya kati

Waziri wa mambo ya kigeni wa Uingereza William Hague amesema kuwa suala la amani kati ya israel na palestina linapewa kipaumbele wakati huu ambapo a,ekutana na waziri mkuu wa Israel Benjamin ...

Waziri mkuu wa Uingereza David Cameron amelazimika kukatisha ziara yake na kurudi London kukutana na wakuu wa usalama
23/05/2013

Waziri Cameron na wakuu wa usalama London wajadili tukio la kigaidi

Wakuu wa usalama nchini Uingereza wamefanya mkutano kujadili mauaji ya kikatili dhidi ya mwanajeshi wa Uingereza,ambayo yalitekelezwa na Watu wawili wanaodaiwa kuwa ni waislamu wenye msimamo ...

Raisi wa Syria,Bashar Al Assad ambaye majeshi yake yanaendeleza mapambano dhidi ya makundi mbalimbali yanayopinga utawala wake nchini humo.
23/05/2013 - SYRIA-URUSI-UINGEREZA

Mataifa ya magharibi yaendelea kumkalia kooni raisi wa Syria

Mataifa ya magharibi yamemtaka rais wa Syria Bashar al-Asad kuhakikisha anashiriki kwenye suluhu ya kupata amani nchini humo na kuonya kuwa iwapo atashindwa kuzungumza kuhusu kuundwa kwa serikali ...

Rais wa klabu ya Napoli Aurelio De Laurentiis
20/05/2013 - ITALIA

Klabu ya Napoli yamtolea macho kocha wa muda wa klabu ya Chelsea Rafael Benitez

Rais wa timu ya soka ya Napoli Aurelio De Laurentiis amekutana na kocha wa muda wa klabu ya Chelsea Rafael Benitez katika jitihada za kumshawishi kuiongoza klabu ya Serie A taarifa kutoka nchini ...

wacheza tenisi Rafael Nadal na Serena Williams
20/05/2013 - ITALIA

Nadal na Serena wang'ara mashindano ya Italia Open

Wacheza Tennis Rafael Nadal na Serena Williams wamewaonya wapinzani wao Roger Federer na Victoria Azarenka kujipanga vizuri kuelekea katika mashindano ya French Open kwa kuwa wao ndio ...

Rais wa Ufaransa François Hollande
17/05/2013 - Ufaransa

Rais wa Ufaransa ayataka mataifa ya Ulaya kumaliza tatizo la ajira

Rais wa Ufaransa Francois Hollande ametaka mataifa ya Ulaya kuhakikisha yanasimama kidete kumaliza tatizo la ajira ambalo limezikumba nchi hizo sambamba na kuangalia hatua za kuimarisha uchumi wa ...

13/05/2013 - MALI-UFARANSA

Jeshi la Mali laanzisha oparesheni za kuyadhibiti makundi ya Kiislamu

Jeshi la Mali limeanzisha operesheni zake katika maeneo yanayodaiwa kuwa ngome madhubuti za makundi ya Kiislamu hasa kwenye Mji wa Kidal unaotajwa kuwa sehemu ya wapiganaji wa Kundi la MNLA.

Waziri mkuu wa Uturuki Tayyip Erdogan,amethibitisha Syria kutumia silaha za kemikali dhidi ya wapinzani
11/05/2013 - SYRIA-MAREKANI-URUSI-UTURUKI

Uturuki yathibitisha Syria kutumia silaha za kemikali

Waziri mkuu wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amesema anavithibitisho kwamba majeshi ya serikali ya Syria yanatumia silaha zenye kemikali dhidi ya majeshi ya upinzani.

Raisi wa Ufaransa François Hollande sambamba na Raisi wa Niger Mahamadou Issoufou.
11/05/2013 - MALI-UFARANSA-NIGER

Mali yaomba ufadhili Umoja wa Ulaya

Nchi ya Mali imeomba kwa wafadhili wa kimataifa hususan umoja wa ulaya EU takribani yuro bilioni 2.6 kusaidia kujenga upya nchi na kujaribu kuzuia kurejea kwa wapiganaji waasi ambao walifukuzwa ...

Moshi mkubwa uliosababishwa na shambulizi la angali lililofanywa na Majeshi ya Israeli kulenga kambi za utafiti wa kijeshi nchini Syria
10/05/2013 - SYRIA-MAREKANI-URUSI-ISRAELI

Syria yasema itajibu mashambulizi mapya ya Kijeshi yatakayofanywa na Jeshi la Israeli dhidi ya taifa hilo huku Marekani ikijiapiza kuilinda

Serikali ya Syria imetishia kujibu mara moja mashambulizi yote mapya ambayo yatafanywa na ndege za kijeshi za Israeli kauli inayokuja baada ya nchi hiyo kutekeleza mashambulizi mawili yaliyolenga ...

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani John Kerry akiwa kwenye mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Sergie Lavrov
08/05/2013 - URUSI-SYRIA-MAREKANI

Lakhdar Brahimi apongeza uamuzi wa Marekani na Urusi kufikia makubaliano ya kumaliza umwagaji wa damu nchini Syria

Mpatanishi wa Mgogoro wa Syria anayetambuliwa na Umoja wa Mataifa UN na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu Lakhdar Brahimi amepokea kwa mikono mawili makubaliano yaliyofikiwa baina ya Marekani na Urusi ya ...

Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud akiwa na Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron kwenye mkutano unaofanyika London
07/05/2013 - SOMALIA-UINGEREZA

Rais wa Somalia Sheikh Mohamud aiomba Jumuiya ya Kimataifa kuisaidia nchi yake ili ijijenga upya baada ya vita vya zaidi ya miongo miwili

Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud amesema taifa hilo haliwezi kuendelea iwapo halitaungwa mkono vya kutoshja na Jumuiya ya Kimataifa kipindi hiki wakianza kujijenga upya baada ya kupitia vita ...

Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud akitafakari jambo kabla ya kuanza kwa mkutano wa kuisaidia kuijenga nchini yake Jijini London, Uingereza
07/05/2013 - SOMALIA-UINGEREZA

Mkutano wa kujadili mustakabli mwema wa nchi ya Somalia waanza nchini Uingereza na kuzileta pamoja Nchi 50

Mkutano wa kujadili na kusaidia ustawi na kudumishwa kwa amani nchini Somalia unaanza hii leo ambapo nchi hamsini zinashiriki pamoja na Taasisi zisizo za Kiserikali katika Mkutano unaofanyika ...

03/05/2013 - Uingereza-Kenya

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta aalikwa Uingereza kushiriki mkutano utakaojadili hali ya Somalia

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ambaye pia mtuhumiwa wa machafuko ya baada ya uchaguzi wa Kenya wa mwaka 2007 katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita, ICC amealikwa na Uingereza kushiriki ...

01/05/2013 - Mali-Ufaransa

Raia wa Ufaransa mshukiwa wa ugaidi unaofanyika nchini Mali Gille le Guen akamatwa

Raia wa Ufaransa aliyeshukiwa kuwa mfuasi wa kundi la kigaidi baada ya kuonekana katika picha ya Video akiionya Ufaransa juu ya uvamizi wake nchini Mali, amekamatwa na Vikosi vya Ufaransa ...

Mfalme mpya wa UHOLANZI Willem-Alexander
30/04/2013 - Uholanzi

Uholanzi yapata mfalme mpya, ni baada ya Malkia Beatrix kumwachia mtoto wake

Wananchi wa uholanzi hii leo wanashuhudia kusimikwa rasmi kwa mwana mfalme wa Malikia Beatrix, Willem-Alexander kama mfalme mpya wa taifa hilo katika sherehe za kihistoria.

 

30/04/2013 - MALI-UN

Mwanajeshi wa sita wa Ufaransa auawa katika mapambano nchini Mali

Mwanajeshi wa Sita kutoka Ufaransa ameuawa jana katika milima ya Ifoghas, wakati gari lililokuwa linawasafirisha kuelekea kwenye maeneo ya kaskazini mwa Mali lilipokanyaga bomu za kutegwa ...

29/04/2013 - UINGEREZA

Mchezaji wa Tottenham Gareth Bale ashinda tuzo za uchezaji bora Uingereza

Mchezaji wa Klabu ya Tottenham ya Uingereza Gareth Bale ametangazwa kuwa mchezaji bora wa mwaka wa chama cha soka la kulipwa, PFA.

Close