Miaka mitano imetimia tangu kuuawa kwa msanii wa miondoko ya Regge wa Afrika Kusini Lucky Dube.
Mahakama kuu nchini Australia, imetoa uamuzi wa kuizuia serikali kuendelea na mpango wake wa kubadilishana wakimbizi na nchi ya Malaysia.
Watu wanaokadiriwa kufikia mia moja wameuawa nchini Sudan, katika eneo lenye utajiri wa mafuta la Abyei, wakati Majeshi ya Sudan Kaskazini yalipovamia eneo hilo na kuchangia kuzuka kwa ...