Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Mgomo wa Madaktari nchini Tanzania waendelea licha ya kutakiwa kurudi kazini na Serikali

Imechapishwa:

Mtangazaji wa makala hii, hii leo ameangazia sakata la mgomo wa wafanyakazi wa Hospitali ya Muhimbili ulioenea nchi nzima na kuleta athari kwa wananchi ambao wanategemea huduma za madaktari.

Wauguzi wa Hospitali ya taifa Muhimbili nchini Tanzania wakiwa kwenye mgomo
Wauguzi wa Hospitali ya taifa Muhimbili nchini Tanzania wakiwa kwenye mgomo Online
Vipindi vingine
  • 10:00
  • 10:13
  • 10:00
  • 09:51
  • 09:52
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.