Pata taarifa kuu

Tanzania: watu 7 wauawa kufuatia imani za kishirikina

Watu saba wameuawa kinyama kwenye kijiji cha Murufiti, wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, nchini Tanzania, baada ya kundi la watu kuwavamia, kuua na kuchoma moto miili yao kwasababu za kishirikina.

Rais wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, ambaye amekua akiwataka raia wake kuzingatia amani na usalama, lakini katika baadhi ya mikoa raia wamekua wakiwaua wenzao kwa imani za kishirikina.
Rais wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, ambaye amekua akiwataka raia wake kuzingatia amani na usalama, lakini katika baadhi ya mikoa raia wamekua wakiwaua wenzao kwa imani za kishirikina. (Photo : Reuters)
Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.