Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Uteuzi wa Emmerson Mnangagwa Makamu mpya wa rais nchini Zimbabwe. Mauaji mapya wilayani Beni Mashariki mwa DRCongo.

Imechapishwa:

Miongoni mwa habari zilizopewa uzito kwa juma hili, ni pamoja na uteuzi wa Emmerson Mnangagwa kuwa makamu mpya wa rais nchini Zimbabwe.Mauaji mapya kuripotiwa wilayani Beni mashariki mwa nchi ya Jamhuri ya kidemokrasia ya congo. Kujisalimisha kwa waasi 21 wa kundi la ADF-Nalu nchini Uganda, Juma hili wananchi wa Tanzania waliadhimisha ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania bara, wakati wananchi wa Kenya wao waliadhimisha miaka 51 ya Uhuru wa nchi yao kutoka kwa wakoloni wauingereza mwaka 1963.Mateka wa mwisho raia wa Ufaransa aachwa huru huko Mali, na ripoti ya seneti nchini Marekani ilikosoa vikali mbinu zinazotumiwa na shirika la ujasusi CIA, kuwahoji washukiwa wa uhalifu, kwamba ni za kikatili na zisizofaa.Andamana nami katika makala haya, mwanzo hadi tamati. Karibu

Sayari ya dunia
Sayari ya dunia
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.