Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Rais wa Ufaransa E.Macron barani Afrika, usalama mashariki ya DRC, ushoga nchini Kenya

Imechapishwa:

Ziara ya rais wa Ufaransa kwenye nchi nne za Afrika wiki hii, uchaguzi mkuu wa urais nchini Nigeria ambao ulimpa ushindi Bola Tinubu, msimamo wa serikali ya Kenya kuhusu ushoga, hali ya usalama wa mashariki ya DRC, lakini pia ziara ya rais wa Uganda Yoweri Museveni nchini Afrika kusini, pamoja na juhudi za kimataifa katika kuisaidia Ukraine, ni miongoni mwa mengi utakayoyasikia

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Congo Denis Sassou-Nguesso (kulia) alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Brazzaville Machi 3, 2023, kama sehemu ya hatua ya tatu ya ziara ya Afrika.
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Congo Denis Sassou-Nguesso (kulia) alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Brazzaville Machi 3, 2023, kama sehemu ya hatua ya tatu ya ziara ya Afrika. AFP - LUDOVIC MARIN
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.