Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mafuriko yasababisha maafa mengi nchini Rwanda na maeneo mengine ya Afrika

Imechapishwa:

Makala hii imeangazia matukio mengi ya wiki hii lakini kubwa ni kuhusu maafa yaliyoripotiwa huko Rwanda na nchini DRC katika mafuriko yaliyosababisha maporomoko ya ardhi baada ya mvua kubwa kunyesha maeneo kadhaa, maadhimisho ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari tukiangazia kwa namna ya pekee mazingira ya wanahabari wa mashariki ya DRC hali nchini Sudan, yaliyojiri katika eneo la Afrika magharibi, kutawazwa kwa mfalme Charles wa 3 na mambo mengine kwengineko duniani.

Wakaazi wakijaribu kusafisha barabara baada ya mafuriko nchini Rwanda, maeneo ya Rubavu, Mei 3, 2023.
Wakaazi wakijaribu kusafisha barabara baada ya mafuriko nchini Rwanda, maeneo ya Rubavu, Mei 3, 2023. © Jean Bizimana / Reuters
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.