Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Ziara ya marais wanne wa Afrika huko Urusi na Ukraine, mauaji ya wakimbizi 46 DRC

Imechapishwa:

Makala hi imeangazia ziara ya ujumbe wa viongozi wa Afrika huko Ukraine na Urusi, Nchi za Jumuia ya Afrika mashariki wiki hii zilisoma Badgeti zao za mwaka wa 2023/2024, Ripoti ya Shirika ya kimataifa la haki za binadamu kuhusu kundi la waasi wa M23 mashariki mwa DRC mauaji ya katika kambi ya wakimbizi huko Ituri, tumeangazia pia yaliyojiri kule Khartoum Sudan, kwengineko Afrika na duniani

Rais wa Afrika kusini Cyril Ramaphosa, Waziri Mkuu wa Misri Mustafa Madbuly, Rais wa Muungano wa Comoro Azali Assoumani, Rais wa Senegal Macky Sall na Rais wa Zambia Hakainde Hichilema wanahudhuria sherehe za ukumbusho katika eneo la kaburi la halaiki huko Bucha, nje kidogo ya Kyiv, Ukraine, Ijumaa, Juni 16, 2023.(AP Photo/Efrem Lukatsky)
Rais wa Afrika kusini Cyril Ramaphosa, Waziri Mkuu wa Misri Mustafa Madbuly, Rais wa Muungano wa Comoro Azali Assoumani, Rais wa Senegal Macky Sall na Rais wa Zambia Hakainde Hichilema wanahudhuria sherehe za ukumbusho katika eneo la kaburi la halaiki huko Bucha, nje kidogo ya Kyiv, Ukraine, Ijumaa, Juni 16, 2023.(AP Photo/Efrem Lukatsky) AP - Efrem Lukatsky
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.