Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Waombahifadhi kutumwa Rwanda, kinyume cha sheria: Mahakama, miaka 63 uhuru wa DRC

Imechapishwa:

Makala hii imeangazia hatua ya mahakama ya London Uingereza kuhusu waomba hifadhi kwamba ni kinyume cha sheria na kwamba Rwanda si salama huku Rwanda ikisema itakata rufaa  wahamiaji walioko nchini humo. Maadhimisho ya miaka 63 ya uhuru wa DRC na mkutano wa Luanda Angola kuhusu amani ya mashariki ya Nchi hiyo, imeangazia pia yaliyojiri nchini Kenya, Uganda, Sudan an Ethiopia na kwengineko duniani.

Waziri Mkuu wa Uingereza Rishi Sunak na Rais wa Rwanda Paul Kagame walipokutana katika 10 Downing Street, London, Uingereza, Alhamisi, Mei 4, 2023.
Waziri Mkuu wa Uingereza Rishi Sunak na Rais wa Rwanda Paul Kagame walipokutana katika 10 Downing Street, London, Uingereza, Alhamisi, Mei 4, 2023. © Stefan Rousseau / Reuters
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.