Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mafuriko nchini Libya tetemeko la ardhi nchini Morocco, na siasa za DRC

Imechapishwa:

Makala hii inaangazia hali inavyoendelea huko Libya baada ya mafuriko makubwa yaliyosababisha vifo vya watu idadi ya vifo kutokana na Tetemeko la ardhi huko Morocco yaendelea kuongezeka, aliyekuwa mshirika wa karibu wake rais wa DRC Félix Tshisekedi na naibu spika wa bunge Jean Marc Kabund ahukumiwa kifungo cha miaka 7, tutaangazia hali ya kisiasa na kijamii nchini Kenya, Tanzania lakini pia ziara ya kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong UN huko Urusi pamoja na mambo mengine.

Mwonekano unaoonyesha magari yaliyoharibika, baada ya dhoruba kali na mvua kubwa kunyesha Libya, huko Derna Libya, Septemba 12 2023
Mwonekano unaoonyesha magari yaliyoharibika, baada ya dhoruba kali na mvua kubwa kunyesha Libya, huko Derna Libya, Septemba 12 2023 REUTERS - ESAM OMRAN AL-FETORI
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.