Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mkutano wa 78 wa umoja wa mataifa, rais wa DRC aitaka Monusco kuondoka DRC

Imechapishwa:

Makala hii imeangazia hotuba za viongozi wa Afrika katika baraza la Umoja wa mataifa huko Newyork Marekani,rais wa zamani wa jamhuri ya Afrika ya kati ahukumiwa kifungo cha maisha jela, Ecowass na hali ya nchini Niger, ziara ya Mfalme wa 3 wa Uingereza nchini Ufaransa lakini kiongozi wa Kanisa katoliki Papa Francis kule Marseilla Ufaransa, na mengine mengi.

Rais wa Guinea, Mamadi Doumbouya, kwenye jukwaa la Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, Septemba 21, 2023.
Rais wa Guinea, Mamadi Doumbouya, kwenye jukwaa la Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, Septemba 21, 2023. AFP - TIMOTHY A. CLARY
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.