Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Kenya, Uganda na Tanzania kuandaa Afcon 2027, Tshisekedi asema uchaguzi utafanyika tu

Imechapishwa:

Katika makala hii tumeangazia baadhi ya habari kuu za dunia za wiki hii na miongoni ni pamoja na  Kenya, Uganda na Tanzania ziliteuliwa na shirikisho la soka Afrika CAF kuwa wenyeji wa mashindano ya kombe la Afrika mwaka 2027, DRC na Rwanda ziligubika mkutano wa Baraza la Umoja wa mataifa, balozi wa Ufaransa nchini Niger Sylvain Itté aliongea kwa mara ya kwanza kuhusu namna alivyofurushwa Niamey, Siasa za Marekani Israeli na kwengineko duniani ni miongoni mwa mengi tumekuandalia

Rais wa CAF Patrice Motsepe akifichua majina ya nchi zitakazoshiriki kuandaa CAN 2027.
Rais wa CAF Patrice Motsepe akifichua majina ya nchi zitakazoshiriki kuandaa CAN 2027. © Courtesy of CAF
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.