Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mwanasiasa wa upinzani Uganda Bobi Wine akamatwa, mauaji ya Sondu Kenya

Imechapishwa:

Makala ya wiki hii imeangazia baadhi ya habari kuu za dunia matukio makubwa kama vile kukamatwa na kuwekwa katika kizuizi cha nyumbani kwa mwanasiasa wa upinzani nchini Uganda Bobi Wine, ziara ya rais wa Kenya William Ruto magharibi mwa Nchi na kuwasilishwa kwa faili za wanasiasa wanaogombea urais katika ofisi za Tume ya uchaguzi nchini DRC, CENI, siasa na hali ya ukanda wa Afrika magharibi na kaskazini na kwengineko duniani.

Mpinzani na mwanamuziki Bobi Wine akiwa mahakamani mjini Kampala, Nchini Uganda Aprili 2019
Mpinzani na mwanamuziki Bobi Wine akiwa mahakamani mjini Kampala, Nchini Uganda Aprili 2019 Nicholas BAMULANZEKI/AFP
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.