Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Burundi kuondoa wanajeshi wake DRC, Ufaransa na mkutano kuhusu Gaza

Imechapishwa:

Makala ya Yaliyojiri wiki Hii, imeangazia hatua ya kikosi cha wanajeshi wa Burundi chini ya Jumuia ya Afrika Mashariki, EAC kujiondoa maeneo ya mashariki mwa DRC, mapigano kati ya jeshi la serikali ya DR Congo FARDC na waasi wa M23 mkowani Kivu kaskazini, hotuba ya rais wa Kenya wiki hii yazua hisia mseto, hali ya kibinadamu nchini Sudan yausikitisha Umoja wa mataifa, kongamano la Kimataifa kuhusu Gaza lafunguliwa nchini Ufaransa na mengine mengi duniani.

Wanajeshi wa Kongo DRC wakiwakaribisha wanajeshi wa Burundi kutoka kikosi cha kikanda cha Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) mjini Goma, Machi 5, 2023
Wanajeshi wa Kongo DRC wakiwakaribisha wanajeshi wa Burundi kutoka kikosi cha kikanda cha Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) mjini Goma, Machi 5, 2023 © Alexis Huguet / AFP
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.