Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Rwanda na Uingereza zasaini mkataba kuhusu wahamiaji, jeshi la EAC laondoka DRC

Imechapishwa:

Makala hii imeangazia hatua ya Rwanda na Uingereza kutiliana saini mkataba mpya kuhusu kuwahamisha wahamiaji kutoka Uingereza kupelekwa Rwanda, makumi ya watu wapoteza maisha katika mafuriko nchini Tanzania, kampeni za uchaguzi mkuu zashika kasi kuelekea desemba 20 huko DRC, Waasi wa M23 wazidisha Mapigano eneo la mashariki mwa DRC, hali ya siasa nchini Kenya, na mataifa mengine ya Afrika magharibi, lakini pia kongamano la Kimataifa kuhusu hali ya hewa waendelea Dubai kwenye Nchi ya Falme za kiarabu, na matukio kadhaa yaliyoshuhudiwa kwengineko duniani...

Waziri Mkuu wa Uingereza Rishi Sunak akihojiwa na wabunge Jumatatu Oktoba 16, 2023.
Waziri Mkuu wa Uingereza Rishi Sunak akihojiwa na wabunge Jumatatu Oktoba 16, 2023. via REUTERS - UK PARLIAMENT/Maria Unger
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.