Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

CENI uchaguzi utafanyika desemba 20 DRC, Uingereza kuhamishia wahamiaji Rwanda

Imechapishwa:

Yaliyojiri wiki hii imeangazia hatua ya mwenyekiti wa tume ya uchaguzi nchini DRC CENI kusisitiza kuwa  uchaguzi utafanyika desemba 20 kama ulivyopangwa; wakati huo huo aliyekuwa mwenyekiti wa CENI Corneille Nangaa alizindua chama kipya cha AFC Alliance Fleuve Congo, wabunge wa Uingereza walipiga kura kuunga mkono mpango wa kuwahamishia wahamiaji nchini Rwanda, siasa za Senegal, na huko Niger Mahakama ya ECOWAS yaamuru kuachiwa huru kiongozi aliepinduliwa nchini Niger Muhamed Bazoum, Jeshi la Israel laendeleza  mashambulio mjini Gaza, na pia matukio kadhaa yaliyoshuhudiwa kwengineko duniani.

Waziri Mkuu wa Uingereza Rishi Sunak na Rais wa Rwanda Paul Kagame katika 10 Downing Street, London, Uingereza, Alhamisi Mei 4, 2023.
Waziri Mkuu wa Uingereza Rishi Sunak na Rais wa Rwanda Paul Kagame katika 10 Downing Street, London, Uingereza, Alhamisi Mei 4, 2023. © Stefan Rousseau / Reuters
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.