Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Raia DRC wasubiri matokeo ya uchaguzi, Rais Biden amsuta Netanyahu kulinda raia

Imechapishwa:

Kwenye makala yaliyojiri wiki hii, tumeangazia uchaguzi kule DRC wakati huu shughuli ya kuhesabu kura ikiendelea, kikosi cha jumuiya ya Afrika Mashariki chaondoka rasmi nchini DRC, mapigano kule Sudan.

Maafisa kutoka Tume ya Uchaguzi (Céni)  nchini DRC wanahesabu kura katika kituo cha kupigia kura katika Chuo cha Imara huko Lubumbashi mnamo Desemba 21, 2023.
Maafisa kutoka Tume ya Uchaguzi (Céni) nchini DRC wanahesabu kura katika kituo cha kupigia kura katika Chuo cha Imara huko Lubumbashi mnamo Desemba 21, 2023. AFP - PATRICK MEINHARDT
Matangazo ya kibiashara

Pia tumeangazia uhusiano wa kidiplomasia kati ya Ufaransa na Niger, pia siasa za Afrika Kusini na kwingineko ulimwenguni tumeangazia masaibu yanayomkabili Donald Trump lakini pia hali kule Gaza.

Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.