Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Dunia yakaribisha mwaka mpya, mvutano kati ya rais Ruto na idara ya mahakama

Imechapishwa:

Miongoni mwa habari kuu za wiki hii ni pamoja na dunia kuukaribisha mwaka mpya 2024, mvutano kati ya rais wa Kenya William Ruto na idara za mahakama, wapinzani wa DRC waendelea kuonesha kutofurahishwa na ushindi wa rais Felix Tshisekedi kwa mujibu wa matokeo ya uchaguzi wa desemba 20 mwaka uliopita, yaliyotangazwa na CENI, yaliyojiri katika ukanda huu wa Afrika Mashariki, Afrika magharibi lakini pia mashambulio mjini Gaza, na matukio kadhaa yaliyoshuhudiwa kwengineko duniani.

Mwaka Mpya wa 2024 ulivyokaribishwa duniani kote
Mwaka Mpya wa 2024 ulivyokaribishwa duniani kote © Studio graphique FMM
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.