Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Usalama waendelea kuzorota mashariki DRC,UN na hali ya Sudan

Imechapishwa:

Hali ya wasiwasi iliyoshuhudiwa kwenye mji wa Goma, baada ya waasi wa M23 kuonekana kuukaribia mji huo huko mashariki mwa DRC,ziara ya rais wa Poland nchini Kenya na huko Rwanda, kuapishwa kwa rais mpya wa muda nchini Namibia baada ya kifo cha aliyekuwa rais wa nchi hiyo Hague GeinGhob, yaliyojiri kwenye kanda ya Afrika magharibi pia uteuzi wa baraza jipya la mawaziri nchini Ufaransa, siasa za Marekani na kwengineko duniani

Hapo ni wakaazi wa Rutshuru wakikimbia mapigano na mashambulizi ya waasi wa M23 mnamo Oktoba 26, 2023.
Hapo ni wakaazi wa Rutshuru wakikimbia mapigano na mashambulizi ya waasi wa M23 mnamo Oktoba 26, 2023. © Alexis Huguet, AFP
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.