Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Azam FC mabingwa wa CECAFA

Imechapishwa:

Jumapili hii katika Jukwaa la michezo tunazungumzia ushindi wa klabu ya soka ya  Azam FC katika michuano ya  klabu bingwa Afrika Mashariki na Kati CECAFA, Timu ya taifa ya wanawake ya mchezo wa  Pete au Netiboli ya Uganda ambayo inashiriki katika kombe la dunia nchini Australia na kuteuliwa kwa kikosi cha wanariadha 40 watakaowakilisha Kenya katika mashindano ya dunia ya riadha nchini China mwezi huu.

Azam FC mabingwa wa CECAFA 2015
Azam FC mabingwa wa CECAFA 2015
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.