UWEKEZAJI-UCHUMI
Falme za Kirabu kuwekeza dola bilioni 35 nchini Misri
Falme za Kiarabu zitaingiza "dola bilioni 35 katika uwekezaji wa moja kwa moja" ndani ya miezi miwili nchini Misri, nchi iliyokumbwa na mzozo wa kiuchumi, Waziri Mkuu wa Misri Moustafa Madbouli ametangaza siku ya Ijumaa wakati wa mkutano na waandishi wa habari.
Imechapishwa:
Matangazo ya kibiashara
Waziri Mkuu wa Misri, anasema stakabadhi hizi za kifedha zitachangia kwa kiasi kikubwa kutatua mzozo wa fedha za kigeni nchini Misri.
Taarifa zaidi zinakujia...