Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Waasi wa M23 wauteka mji wa Kitshanga, rais wa Kenya W.Ruto azuru Ufaransa

Imechapishwa:

Makala hii imeangazia mvutano wa kidiplomasia kati ya Rwanda na DRC waendelea kushika kasi baada ya ndege ya jeshi la Congo kutunguliwa kutoka Rwanda, waasi wa M23 wiki hii walishika mji wa Kitshanga katika mkowa wa Kivu kaskazini, rais wa Kenya William Ruto atembelea Ufaransa, Balozi wa Ufaransa nchini Burkina Faso arejeshwa Paris na mapigano huko Ukraine

Wanajeshi wa M23 wakiondoka kwenye kambi ya Rumangabo, baada ya kukutana na maafisa wa EACRF wakati wa hafla ya kukabidhi silaha kwenye kambi ya Rumangabo mashariki mwa DRC, Januari 6, 2023.
Wanajeshi wa M23 wakiondoka kwenye kambi ya Rumangabo, baada ya kukutana na maafisa wa EACRF wakati wa hafla ya kukabidhi silaha kwenye kambi ya Rumangabo mashariki mwa DRC, Januari 6, 2023. AFP - GUERCHOM NDEBO
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.