Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Watatu wafa katika mlipuko wa gas jijini Nairobi Kenya, M23 waendeleza mapigano DRC

Imechapishwa:

Miongoni ni pamoja na watu watatu wafariki dunia katika mlipuko wa gesi jijini Nairobi nchini Kenya, kundi la waasi wa Uganda wa ADF waendeleza mauaji ya raia wa kawaida nchini DRC,lakini pia yaliyojiri kwenye kanda ya Afrika Mashariki, Afrika magharibi na Mgomo wa wakulima nchini Ufaransa, hali ya Israeli na matukio kadhaa yaliyoshuhudiwa kwengineko duniani.

Watu zaidi ya 200 wameripotiwa kujeruhiwa katika makasa huo
Watu zaidi ya 200 wameripotiwa kujeruhiwa katika makasa huo REUTERS - MONICAH MWANGI
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.