Pata taarifa kuu
SOKA YA UINGEREZA

Chelsea yatoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya Liverpool

Nchini Ungereza, klabu ya soka ya Chelsea, ilitoka nyuma baada ya kufungwa mabao mawili na Liverpool na kulazimisha sare ya mabao mawili kwa mawili, katika mechi ya kuvutia ya ligi kuu nchini humo, Jumapili usiku.

Sadio Mané, mfungaji wa bao la kwanza la Liverpool na Mo Salah, la pili, walisumbua safu ya ulinzi ya Chelsea, timu hizi zililazimika kenda sare, mchezo uliochezwa London Januari 2, 2022.
Sadio Mané, mfungaji wa bao la kwanza la Liverpool na Mo Salah, la pili, walisumbua safu ya ulinzi ya Chelsea, timu hizi zililazimika kenda sare, mchezo uliochezwa London Januari 2, 2022. Adrian DENNIS AFP
Matangazo ya kibiashara

Liverpool ilianza kutikisa nyavu katika dakika ya 9 kipindi cha kwanza, baada ya mshambuliaji wake Sadio Mane kuipa timu yake uongozi, na baadaye Mo Sala kufunga la pili katika dakika ya 26 ya mchuano huo.

 

Hata hivyo, dakika 3 kabla ya mapumziko, Mateo Kovačić aliifungia Chelsea baola kwanza, huku Christian Pulisic akifunga la pili dakika tatu baadaye na hadi mapumziko, timu zote zilikuwa zinatoshana nguvu.

Matokeo mengine

Brentford 2-1 Aston Villa

Everton 2-3 Brington

Leeds 3-Burnley.

Leo

Manchester United watamenyana na Wolvehampton Wanderer saa Mbili na nusu usiku

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.