Pata taarifa kuu

Mafuriko Bangladesh: Watu Hamsini na tano wamefariki tangu mapema mwezi Agosti

Takriban watu 55 wameangamia nchini Bangladesh kufuatia mafuriko na maporomoko ya udongo yaliyosababishwa na mvua kubwa ambayo pia imesababisha zaidi ya waathiriwa milioni moja tangu mwanzoni mwa mwezi Agosti, mamlaka imetangaza Jumapili.

Barabara iliyojaa maji kutokana na mafuriko huko Sittwe, muda mfupi kabla ya Kimbunga Mocha kupiga Mei 14.
Barabara iliyojaa maji kutokana na mafuriko huko Sittwe, muda mfupi kabla ya Kimbunga Mocha kupiga Mei 14. AP
Matangazo ya kibiashara

Takriban watu 21 waliofariki wameoredhwa katika eneo la Cox's Bazar, 19 katika enro la Chittagong, 10 huko Bandarban na 5 huko Rangamati, kulingana na maafisa katika maeneo yaliyoathiriwa zaidi na hali mbaya ya hewa.

Habari zaidi zinakujia...

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.