Pata taarifa kuu

Zaidi ya watu 33,000 raia wa Gaza wameuawa katika miezi 6 iliyopita

Takwimu ambazo zimerekodiwa tangu vita vilivyozuka zinaonyesha kuwa zaidi ya watu 33,000 kutoka Gaza, wengi wao wakiwa raia, wameuawa, kwa mujibu wa wizara ya afya ya Palestina inayoendeshwa na Hamas.

Raia wa Israel wafanya maandamano ya kuachiliwa huru mara moja kwa mateka, miezi sita baada ya kutekwa nyara wakati wa shambulio baya la Oktoba 7 dhidi ya Israeli na kundi la Kiislamu la Palestina Ham
Biểu tình gần Quốc Hội Israel, Jerusalem, ngày 07/04/2024, kêu gọi chấm dứt chiến tranh tại Gaza và trả tự do cho tất cả các con tin. REUTERS - Ronen Zvulun
Matangazo ya kibiashara

Utafiti wa hivi karibuni uliyofanya Aprili 5 unaonyesha kuwa zaidi ya 70% ya waliouawa walikuwa wanawake na watoto.

Kwa mujibu wa shirika lisilokuwa la kiserikali la Save the Children, watoto 13,800 wa Kipalestina huko Gaza wameuawa na zaidi ya 12,009 kujeruhiwa. Unicef ​​inaripoti kuwa angalau watoto 1,000 wamekatwa mguu mmoja au miguu yote miwili.

Zaidi ya watu milioni 1.7 wamekimbia makazi yao, kulingana na Umoja wa Mataifa.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.