Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.
Soma yanayofuataSikiliza kipindi kilichopita
-
Histori ya jiji la Nairobi na utamaduni wa mahafali kupigana nchini Kenya
Je, unafahamu historia ya jiji kuu la Kenya Nairobi ? Tunakufahamisha pia kuhusu utamaduni wa mafali kupambanishwa, Magharibi mwa nchi hiyo.11/08/202120:00 -
Historia ya ngome ya Fort Jesus mjini Mombasa na tamasha la blu Economy
Katika Makala haya Changu chako juma hili, mtangazaji wako Ali Bilali anakuletea Historia ya ngome ya Fort Jesus ilipo Mombasa nchini Kenya na muendelezo wa tamasha la Blu Economy lililofanyika huko Mombasa.27/07/202119:58 -
Sherehe za mapinduzi ya Ufaransa na Tamasha la Bleu Economy lililofanyika Mombasa
Makala changu Chako Chako Changu juma hili tunakukumbusha Historia ya mapinduzi ya Ufaransa pamoja na shughuli mbalimbali zililizofanyika na kuandaliwa na kituo cha Utamaduni wa Ufaransa cha Mombasa katika tamasha la Bleu Economy.22/07/202120:09 -
Historia ya Uhuru wa Burundi uliopatikana Julai Mosi 1962
Katika Makala haya mtangazaji wako Ali Bilali anakuletea Historia ya Uhuru wa Burundi ambao husherehekewa kila ifikapo Julay 01. Ambatana naye kufahamu zaidi harakati zilivyokuwa hadi kuuawa kwa mwanamfalme Louis Rwagasore.09/07/202120:18 -
Historia ya Uhuru wa jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo 1960
Katika Makala haya, mtanzaji wako amuandamizi wa Makala za Historia Ali Bilali anakuletea Historia ya Uhuru wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo. DRCongo ilipata uhuru Juni 30 mwaka 1960 kupitia harakati za kinara wa uhuru huo Emery Patrice Lumumba. Usikosi pia kutofollow kwa Instagram kwa kuandika @billy_bilali29/06/202120:15 -
Historia ya wanaharakati wa mapinduzi nchini Kenya Mau Mau
Katika Makala haya, Ali Bilali anazungumzia kuhusu Historia ya wanaharakati wa Uhuru nchini Kenya Mau Mau.25/06/202120:19 -
Makala maalum miaka mia moja ya radio sehemu ya pili.
Katika sehemu ya pili ya makala kuhusu miaka mia moja ya radio, Ali Bilali anakuletea historia ya kuzaliwa kwa radio France Internationale RFI. na kwenye kipengele cha Muziki utapata Burudani kutoka kwake Hiro le Coq.14/06/202120:18 -
Historia ya Radio miaka mia moja tangu kuundwa kwake sehemu ya kwanza
Makala haya Changu Chako Ali Bilali anakuletea Historia ya miaka 100 tangu kuundwa kwa radio, hatuwa ya mwanzo kabisa hadi kupatikana kwa masafa marefu na mafupi, hii ikiwa ni sehemu ya kwanza.07/06/202120:20 -
Historia ya Kiongozi wa Tchad Idriss Debby Itno sehemu ya kwanza
Katika sehemu hii ya kwanza, mwanahistoria Ali Bilali anakuletea Historia ya rais wa Tchad Idriss Deby Itno, katika sehemu hii ya kwanza anakueleza kuhusu harakati zake kuelekea kuishika dola na kuchaguliwa kwa muhula wa kwanza.25/05/202120:07 -
Historia ya mwanamapinduzi rais wa zamani wa BurkinaFaso Thomas Sankara sehemu ya tatu
Katika sehemu hii ya tatu mtangazaji wako Ali Bilali akiambatana na Benson Wakoli wanakuletea sehemu Historia ya Thomas Snakara ambapo sehemu hii inazungumzia kuhusu harakati za ukosoaji wa Madeni katika kiwango cha kimataifa.12/05/202120:10 -
Historia ya rais wa zamani wa BurkinaFaso Thomas Sankara mwanzo wa harakati sehemu ya pili
Katika sehemu hii ya pili, mwanahistoria wetu Ali Bilali anakuletea historia na namna Thomas Sankara alivyoanza harakati zake za kisiasa.12/05/202120:23 -
Historia ya rais wa zamani wa BurkinaFaso Thomas Sankara sehemu ya kwanza
Katika sehemu hii ya kwanza ya Makala kuhusu Historia ya rais wa zamani wa BurkinaFaso Capreni Thomas Sankara, Ali Bilali na Benson Wakoli wanazungumzia kuhusu alivoanza harakati kuelekea kwenye mapinduzi ya kijeshi.07/05/202120:13 -
Historia ya wimbo wa hisani uliopiga fora kote duniani sehem ya pili
Sehemu ya pili ya Katika Makala kuhusu Historia ya wimbo wa hisani uliopiga fora kote duniani miaka zaidi ya 30 iliopita mpaka leo We are the World. Wimbo huu uliwajumuisha wanamuziki zaidi ya 80 wa Marekani kwa ajili ya kuchangisha fedha za misaada kuwasaidia watu waliokumbwa na baa la Njaa katika pembe ya Afrika lakini pia Marekani.01/05/202120:15 -
Historia ya wimbo wa hisani uliopiga fora kote duniani sehem ya kwanza
Katika Makala haya muandishi wa maswala ya Historia anakuletea Historia ya wimbo wa hisani uliopiga fora kote duniani miaka zaidi ya 30 iliopita mpaka leo We are the World. Wimbo huu uliwajumuisha wanamuziki zaidi ya 80 wa Marekani kwa ajili ya kuchangisha fedha za misaada kuwasaidia watu waliokumbwa na baa la Njaa katika pembe ya Afrika lakini pia Marekani.01/05/202120:14 -
Historia ya Siku ya Kimataifa ya Francophonie ambayo huadhimishwa kila March 20 ya kila mwaka
Makala haya ni muendelezo wa Makala kuhusu mwezi wa la francophonie, sehemu hii tunazunhumezia kuhusu siku ya kimataifa ya nchi zinazo zungumza lugha ya Kifaransa, pamoja na hatuwa ya uzinduzi wa kamusi ya francophonie.23/03/202120:25
Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.