Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.
Soma yanayofuataSikiliza kipindi kilichopita
-
Historia ya ufalme wa Buganda nchini Uganda
Karibu mpenzi msikilizaji katika Makala haya ya Changu chako Chyako Changu ambapo leo tunazungumzia kuhusu Ufalme wa Buganda huko Uganda, na kwenye le parler francophone tunazungumzia kuhusu Tamasha la muziki wa wakongwe wa Bongo Fleva na kwenye Muziki nakuletea mwanamuziki kutoka nchini Uganda, Jose Chameleon, mimi naitwA Ali Bilali Bienvenue et bon reveille matinale.28/01/202319:51 -
Historia ya mwanaharakati wa haki za binadamu nchini Marekani Martin Luther King Junior
Makala haya Changu Chako Changu Ali Bilali akishirikiana na mtangazaji mwenzake Victor Abuso, wanakuletea Historia ya mwanaharakati wa haki za binadamu nchini Marekani Martin Luther King Junior aliezaliwa Atlanta, Georgia mnamo Januari 15, 1929 na kuuawa Aprili 4, 1968 huko Memphis, Tennessee. Na kwenye Muziki jumapili hii anakuletea mwanamuziki Arrow Boy kutoka nchini Kenya.21/01/202320:05 -
20:03
-
Siku kuu ya mashujaa nchini DRC ambayo huadhimishwa Januari 04 ya kila mwaka
Ni Jumapili nyingine tunakutana tena katika Makala haya Changu Chako Chako Changu, ikiwa ni mwisho wa wiki ya kwanza ya mwezi Januari, na leo tunazungumzia kuhusu siku ya mashujaa nchini DRC, tutaangazia pia shughuli za kitamaduni kwenye vituo vya Alliance Francaise ya ukanda na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Tayc07/01/202319:58 -
Kumbukumbu ya makala Changu Chako Chako Changu mwaka 2022 sehemu ya pili
Makala haya yanakuletea kumbukumbu ya Mada tulizozungumzia katika mwaka 2022. Ungana naye Ali Bilali kufahamu zaidi nini kilichojiri mwaka wa 2022, na hii ni sehemu ya pili.04/01/202320:00 -
Ukumbusho wa makala za mwaka 2022 katika Changu Chako Chako Changu
Karibu katika Makala yetu ya leo Changu Chako Chako Changu Tunaelekea kutamatisha mwaka 2022, Jumapili hii ninakukumbusha vipengele kadhaa vya makala tulivyozungumzia tangu kuanza kwa mwaka huu wa 2022, kwenye historia, utamaduni, le parler francophone na Muziki. Mimi naitwa Ali Bilali.24/12/202220:28 -
Wananchi wafurika kuhudhuria tamasha la kwanza la jiji la Nairobi, ama Nairobi Festival
Karibu kuwa nami Jumapili hii katika Makala haya Changu Chako Chako Changu, ambapo leo nakuletea Tamasha la Nairobi ama Nairobi Festival na kwenye le Parlr francophone tutaangazia kinachoendelea kupitia Alliance Francaise z aunada kabla ya likizo ya mwisho wa mwaka, na kwenye Muziki nitakuletea Mwanamuziki Zuchu kutoka WCB nchini Tanzania. Mimi naitwa Ali Bilali Bienvenue.17/12/202220:01 -
Historia ya watu kabila la wagiriama kutoka pwani ya Kenya na kifo cha Tshala Muana
Makala haya mwanahistoria na mtaalamu wa maswala ya utamaduni hapa RFI Kiswahili Ali Bilali anakuletea historia ya watu wa kabila la wagiriama pwani ya Kenya huku akikujuza kuhusu kifo cha mwanamuziki Tshala Muana.11/12/202219:58 -
Siku ya kimataifa ya waalimu wa lugha ya Kifaransa na uzinduzi wa swahilipot Mombasa
Makala haya mtangazaji wako Ali Bilali ambae amerejea kutoka Mombasa, anakuletea sehemu ya pili ya makala kuhusu siku ya kimataifa ya waalimu wa lugha ya Kifaransa iliofanyika Mombasa nchini Kenya, pamoja na uzinduzi wa kituo cha swahilipot Mombasa na balozi wa Ufaransa nchini Kenya na Somalia Arnaud Suquet alieambatana na jopo lake huku kundi la Mijikenda Jazz Band likishusha burudani.05/12/202220:02 -
Sherehe za siku ya kimataifa ya waalimu zafana Alliance Francaise ya Mombasa nchini Kenya.
Katika Makala haya ya leo Changu Chako Chako Changu, muandaaji wa makala haya Ali Bilali amekutana na waalimu wa lugha ya Kifaransa huko Mombasa wakati wakiadhimisha siku kuu ya kimataifa ya waalimu wa lugha ya Kifaransa. Mabatana naye.28/11/202220:01 -
Historia ya michuano ya kombe la dunia katika mchezo wa soka
Leo, tumekuandalia historia kuhusu chimbuko la mashindano ya kombe ka dunia, wakati huu Qatar ikiandaa fainali ya mwaka 2022. Kipengele cha Le Parler Francophonie, utafahamu kuhusu Mwalimu bora wa lugha ya Kifaransa kutoka nchini Kenya. Muziki, leo ni zamu yake Hawa Dialo kutoka Mali.20/11/202220:00 -
Makala kuhusu tuzo ya Ghislaine Dupont na Claude Verlon ambayo hutolewa kila Novemba 02
Ni jumapili nyingine tunakutana tena katika Makala haya ya change chako chako chako change, ambapo Jumapili hii nakuletea ufafanuzi kidogo kuhusu tuzo ya Guislaine Dupont na Claude Verlon ambayo huandaliwa kila Novemba 2, na kwenye kipengele cha le parler francophone tutazungumzia kuhusu shindani la uandishi kwa waalimu wa lugha ya Kifaransa na kwenye Muziki tutamzungumzia rapa kutoka Marekani Takeoff ambae ameuawa juma hili kwa kupigwa risase Mimi naitwa Ali Bilali05/11/202219:58 -
Expertise France yatoa mafunzo kuhusu usalama wa wavuvi Mombasa
Karibu katika Makala haya ya Changu Chako Chako Changu, leo tunazungumzia kuhusu usalama wa wavuti katika mafunzo yaliotolewa na shirika la Expertise France huko Mombasa pwani ya Kenya, na kwenye kipengele cha le Parler Francophone Mkurugenzi wa Alliance France atatueleza ratiba walionayo juma hili na kwenye Muziki nakuletea mwanamuziki Sudi Boy msanii kutoka Mombasa, Mimi naitwa Ali Bilali Bienvenue.29/10/202220:06 -
Historia ya siku ya mashujaa nchini Kenya Octoba 20
Karibu katika Makala ya Changu Chako Chako Changu hii leo nakuletea historia ya siku ya mashujaa ambayo husherehekewa kila Octoba 20 ya kila mwaka nchini Kenya, na kwenye kipengele cha Muziki tutaangazia tamasha la Muziki Alliance Francaise ya Nairobi na Dar es salaam na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki wa Bongo Fleva Mbwana Yusuf Kilungi maharufu Mbosso.23/10/202220:05 -
Historia ya watu wa kabila la waturkana kaskazini magharibi mwa Kenya
Karibu Jumapili hii kuwa nami katika Makala Changu Chako Chako Changu, ambapo leo nakuletea Historia watu wa Kabila la Waturukana. Na kwenye kipengele cha le parler francophone nakuletea ratiba kwenye Institut francais yta Lubumbashi na Nairobi nchini Kenya lakini pia Dar es salaam Tanzania, na kwenye Muziki nakuletea kumbukumbu ya miaka 33 tangu kutokea kifo cha hayati Franco. Mimi naitwa Ali Bilali Bienvenue et Bon reveil Matinale.15/10/202219:59
Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.