Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.
Soma yanayofuataSikiliza kipindi kilichopita
-
Changamoto zilizopo baada ya kurejeshwa kwa vinyago vilivyoporwa na msanii Mbosso
Karibu katika Makala haya ya Changu Chako Chako Changu, ambapo leo nakuletea changamoto zinazoendelea baada ya kurejeshwa kwa vinyago vilivporwa na kupelekwa Ulaya na Marekani, na kwenye Muziki nakuletea mwanamuziki Mbosso kutoka nchini Tanzania.14/05/202319:57 -
Makala kuhuus uandishi wa vitabu na Marcel Yabili na historia ya Bob Marley
Makala haya Habari rafiki Ali Bilali amezungumza na Marcel Yabili kutoka Lubumbashi nchini DRC kuzungumzia kuhusu uandishi wa vitabu hususan kitabu chake Vraiment Congo une tribu. Amekuletea pia kumbukumbu ya hayati Bob Marley aliefariki Mei 11 miaka 48 iliopita.06/05/202319:32 -
Historia ya siku kuu ya wafanyakazi duniani na harakazi za kumuenzi Papa Wemba
Ni Jumapili nyingine tunakutana tena katika Makala haya ya Changu Chako Chako Changu ambapo leo nakuletea makala kuhusu siku kuu ya Kimataifa ya wafanyakazi duniani maharufu Mei Mosi, na kwenye le Parler Francophone nakuletea shughuli za utamaduni Alliance francaise ya Nairobi, Institut Francais ya Bujumbura na tamasha la kuwaenzi wanamuziki wa Bongo Fleva lililoandaliwa na Alliance Francaise ya Dar es salaam, na kwenye Muziki nitakuletea muziki wa nguli wa miondoko ya Rumba hayati Papa Wemba30/04/202319:46 -
Mashindano ya Muziki wa Slam ama mashairi Lubumbashi na mwanamuziki Kblack
Ni Jumapili nyingine tunakutana tena katika Makala haya ya Changu Chako Chako Changu ambapo leo nakuletea makala kuhusu Slam ama mashahiri na kwenye kipengele cha le parler francophone tutaangazia kinachoandaliwa na Alliance francaise ya Nairobi, Dar es salaam na Institut francais ya Lubumbashi, na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Keblack kutoka nchini Ufaransa, mimi naitwa Ali Bilali, bienvenue et bon reveil matinale. Yaani Karibu na asubuhi njema, lakini pia Eid Mubarak22/04/202319:53 -
Kijiji cha Mitahato nchini Kenya na jitihada za kujifunza lugha ya Kifaransa
Ni Jumapili nyingine tunakutana tena katika Makala haya ya Changu chako chako Changu ambapo leo tunaangazia juhudi za wakaazi wa Mitahato Kaunti ya Kiambu katika Kujifunza lugha ya Kifaransa. Na kwenye le le parler Francophone tutaangazia kinachoendelea Alliance francaise ya Nairobi, Mombasa, Dar es Salaam na kwenye Muziki tutamzungumzia mwanamuzi Sheebah Karungi kutoka nchini Uganda. Mimi naitwa Ali Bilali Binvenue, ama Karibu lakini pia Bona Reveil Matinale,18/04/202320:00 -
Wasanii kutoka Lubumbashi wajiandaa na mchezo wa kuigiza Bienvenue a Walikale
Karibu katika makala Changu chako chako changu ambapo Jumapili hii tunaelekea Mjini Lubumbashi kuzungumzia mchezo wa kuigiza Bienvenue à Walikale, na kwenye le parler francophone tutaangazia kuhusu walichokuandalia Alliance Francaise ya Nairobi na Dar es salaam pamoja na Institut Français ya Lubumbashi na kwenye Muziki nitakuletea kibao chake mwanamuziki Zuchu napambana. Mimi naitwa Ali Bilali bienvenue.15/04/202319:52 -
Historia ya mji wa kale huko Mombasa na maandalizi ya tamasha la karibu Walikale
Karibu katika Makala Changu Chako Chako Changu, jumapili ya leo nakupeleka huko Mombasa nchini Kenya kuangazia mji wa Kale mjini hapo, na kwenye le parler francophone tutaangazia nini kilichoandaliwa na Institut Francais de Lubumbashi na Alliance francaise ya Nairobi na Mombasa. Na kwenye Muziki leo nakuletea mwanamuziki Willy Paul kutoka nchini Kenya mimi naitwa Ali Bilali ninakukaribisha Karibu, Ama Bienvenue et Bon Reveil Matinale, yaani asubuhi Njema.01/04/202319:58 -
Mwezi wa la francophonie sehemu ya pili Louise Mushikiwabo akabidhi tuzo
Karibu kuungana nami jumapili hii katika Makala haya Changu Chako Chako Changu ambapo leo nakuletea sehemu ya pili ya makala kuhusu mwezi wa Francophonie na kwenye le parler francophone nakuletea shughuli za kitamaduni zilizojiri kwenye vituo vya Alliance Francaise ya Mombasa, Nairobi na Dar es salaam na kwenye Muziki nakuletea mwanamuziki kutoka nchini Burundi Saidi Brazza ambae amefariki dunia alhamisi iliopita huko Ngozi magharibi mwa Burundi. Mimi naitwa Ali Bilali bienvenue.25/03/202320:04 -
Makala haya yanazungumzia mwezi wa francophonie, kuelekea siku ya kimataifa ya OIF
Karibu kuwa nami kwa mara nyingine tena katika Makala Changu Chako Chako Changu ambapo leo tunazungumzia kuhusu mwezi wa la francophonie, na kwenye le parler francophone tutazungumzia tamasha lililoandaliwa na Alliance francaise ya Nairobi ya wasanii kutoka katika maeneo mbalimbali duniani waliojumuika katika kundi la Chansons sans frontieres.23/03/202319:57 -
Muandishi wa vitabu Abdourahman Waberi atembelea studio za rfi kiswahili Nairobi
Ni Jumapili nyingine tunakutana tena katika Makala haya ya Changu Chako Chako Changu, ambapo leo ni spisho kabisa tunazungumzia juu ya maandalizi ya wiki ya Francophonie tumemualika studio muandishi wa vitabu Abdurahamani Waberi raia wa Ufaransa mwenye asili ya Djibouti kuzungumzia hasa kitabu chake Les Etats Unies d’Afrique, na kwenye kipengele cha Muziki tutamzungumzia mwanamuziki Pierrette Adam. Kwenye Makala haya ameshiriki pia mkurugenzi wa rfikiswahili bwana Robert Minangoy. Karibu.11/03/202319:49 -
Sehemu ya pili ya makala kuhusu hitoria ya wapemba wa Kenya na mwanamuziki Ali
Karibu katika Makala Changu Chako Chako Changu Jumapili ya leo nakuletea sehemu ya pili ya Makala kuhusu historian a tamaduni la watu wa akbila la wapemba wa Kenya, na kwenye le parler francophone nitakujuza nini kinachojiri Alliance francaise ya Mombasa, Nairobi, Dar es salaam na Institut Francais ya Lubumbashi, na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuzi Ali Saleh kutoka nchini nchini Kenya wa kundi la Lafrik. Mimi naitwa Ali Bilali Binvenue ama karibu.04/03/202319:57 -
Historia ya watu wa kabila la wapemba wa Kenya baada ya kuidhinishwa kuwa kabila la 43
Ni furaha tele tunakutana tena katika Makal haya ya Changu Chako Chako Changu Jumapili hii asubuhi ambapo leo nakuletea Historia ya watu wa Kabila la wapemba nchini Kenya ambao hivi karibuni rais wa Kenya William Ruto aliwaidhinisha kuwa kabila rasmi la nchi hiyo. Na kwenye le Parler francophone tutaangazia hasa kuhusu tamasha la kukuza muziki wa Bingo Fleva liliandaliwa na Alliance francaise ya Dar es salaam kwa ushirikiano na Mr Sugu, na kwenye Muziki tutmuangazia mwanamuzi Kor Akim25/02/202319:55 -
Kurejeshwa kwa urithi wa Kiafrika na mabaki ya binadamu yaliotokana na ukoloni
Ni Jumapili nyingine tunakutana tena katika Makala haya ya Changu Chako Chako Changu ambapo leo nakuletea makala kuhusu kurejeshwa sio tu kwa urithi wa Kiafrika bali pia mabaki ya binadamu yaliyotokana na ukoloni hususan huko DRC. Na kwenye kipengele cha le Palrer francophone tutaangazi ratiba za utamaduni Alliance francaise ya Nairobi na Dar es salaam, kweney muziki nitakuwa naye msanii chipukizi kutoka nchini Kenya anaitwa Lakijoh. Mimi naitwa Ali Bilali, Bienvenue et bon reveil18/02/202319:53 -
Historia ya wanyamwezi na kifo cha msanii wa Afrika kusini AKA
Karibu katika Makala haya ya leo Jumapili tunazungumzia kuhusu Historia ya wanyamwezi moja miongoni mwa makabila ya waswahili nchini Tanzania. Kwenye le Parler francophone tutazungumzia kuhusu ratiba mbalimbali kwenye kituo cha Alliance francaise ya Dar es salaam na Institut francais ya Lubumbashi lakini pia uzinduzi wa Ubalozi mdogo wa Ufaransa mjini Dodoma, na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki AKA aliefariki kwa kupigwa risase huko Afrika Kusini mimi ni Ali Bilali Karibu.11/02/202319:51 -
19:50
Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.