Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.
Soma yanayofuataSikiliza kipindi kilichopita
-
Tamasha la Muziki wa Habib Koite na sherehe za miaka 12 ya rfi kiswahili
Karibu katika Makala changu chako chako changu ambapo leo nakuletea Makala maalum kuhusu tamasha la mwanamuziki Habi Keita lililofanyika ukumbi wa Alliance Francaise ya Nairobi. Wakati RFI Kiswahili ikifanya sherehe ya miaka 12 tangu kuanza kupeperusha matangazo yake Afrika mashariki Julay 5 mwaka 2010 jijini Dar Es Salaam Tanzania.10/10/202219:58 -
Filamu ya Vuta N'kuvute kuonyesha jijini Nairobi na Mombasa
Katika Makala haya, mwana Historia wetu hapa RFI Ali Bilali anakuletea taarifa kuhusu filamu ya Vuta N’kuvute ambayo inaeleza kwa ufupi Historia ya Zanzibar na itayoonyeshwa kuanzia Jumatatu Octoba 03 Alliance Francaise ya Nairobi, na baadae huko Mombasa na Lamu nchini Kenya.01/10/202220:13 -
Historia ya muandishi wa tamthilia Jean Baptiste Poquelin maharufu Moliere
Karibu kuwa nami Jumapili hii katika Makala Changu Chako Chako Changu, ambapo leo nakuletea Historia ya mchekeshaji muigizaji kutoka nchini Ufaransa Jean Baptiste Poquelin maharufu Moliere aliefariki jukwaani wakati akiigiza, na kwenye kipengele cha le parler francophone tutakuwa huko Dar es salaam, na Mombasa, kuangazia ratiba ya shughuli za sanaa juma hili, na kwenye muziki nitakuletea mwanamuzi nitakuletea mwaamuziki Florin Redpen ambae atatumbwiza Alliance Francaise Septemba 28.25/09/202220:02 -
Historia ya muziki wa Jazz wakati tamasha la muziki huo likirindima jijini Kinshasa
Naitwa Ali Bilali ninakukaribisha katika Makala haya ya changu chako chako changu, ambapo Jumapili hii nakuletea Historia ya Muziki wa Jazz, na kwenye kipengele cha le Parler Francophone nakuletea ratiba ya shughuli za kitamaduni kutoka Alliance Francaise ya Lubumbashi, Nairobi na Kigali nchini Rwanda na kwenye Musiki nitakujuza kuhusu mwanamuziki Bruce Melodie kutoka nchini Rwanda. Makinika nami. Bienvenue.17/09/202220:01 -
Historia ya malkia wa Uingereza Elizabeth wa pili
Karibu mpenzi msikilizaji katika Makala haya Changu Chako Chako Changu, ambapo leo nakuletea historia ya Malkia Elizabeth II ambae amefariki dunia juma hili, na kwenye kipengele cha le parler francophone tutaoungana na mwenzangu Reuben Lukumbuka aliekuwepo huko Arusha na kwenye muziki nitakuletea mwanamuziki Elton John ambae ni wanamuziki wanaomuenzi Malkia Elizabeth wa Pili. Mimi naitwa Ali Bilali, Karibu.10/09/202220:00 -
Toleo la 9 la bourse Ghislaine Dupont na Claude Verlon mwaka 2022
Karibu katika Makala Changu Chako Chako Changu ambapo leo tunazungumzia kuhusu Bourse iitwayo Ghislaine Dupont na Claude Verlon. Na kwenye kipengele cha le parler francophone nitakujuza kuhuus ratiba ya shughuli za kitamaduni katika Alliance francaise ya Lubumbashi na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Aslay kutoka nchini Tanzania ambae hivi karibuni amesaini na Lebo ya Rock Star ya nchini Afrika Kusini. Mimi naitwa Ali Bilali Bienvenue.03/09/202220:04 -
Historia ya uundwaji wa vikosi vya kulinda amani nchini DRC Monusco
Karibu kuwa nami katika Makala haya ya Changu chako chako changu, ambapo leo nitakuletea historia ya Ujumbe waw a Umoja wa Mataifa nchini DRC MONUSCO, na kwenye kipengele cha Muziki, nitakuletea mwanamuziki kutoka nchini Burundi Mista Champagne. Mimi naitwa Ali Bilali Bienvenue.28/08/202220:03 -
Historia ya watu wa kabila la wataita na kifo cha mwanamuziki wa Rwanda Yvan Buravan
Karibu kujiunga nami kwa mara nyingine tena katika Makala haya ya Changu Chako Chako Changu, ambapo leo nakuletea historia na tamaduni la kabila la wataita, na kwenye kipengele cha Muziki nitakuletea mwanamuziki Yvan Buravan ambae amefariki dunia juma hili huko nchini India. Mimi naitwa Ali Bilali. Bienvenue.20/08/202220:02 -
Kurejeshwa kwa mambo ya kale yalioporwa na wanajeshi wa Uingereza katika miaka ya 1887
Karibu katika makala yetu ya leo Changu Chako Chako Changu, ambapo nitakuletea habari hii ya kurejeshwa kwa mambo ya kale yalioporwa na wanajeshi wa Uingereza katika miaka ya 1887 huko nchini Nigeria na kwenye Muziki nitakuletea Habari ya mwanamuziki Ferre Golla ambae hivi karibuni ameachiwa huru na mahakama nchini Ufaransa. Mimi naitwa Ali Bilali, Bienvenue.17/08/202220:14 -
Historia ya michezo ya Jumuiya ya Madola
Ni jumapili nyingine tunakutana tena katika Makala haya ya Changu Chako Chako Changu, nakuletea historia ya michezo ya Jumuiya ya madola inayofanyika huko Uingereza, na kwenye le Parler francophone nakuletea ratiba ya tamasha kupitia centre culturel francophone ya Kigali na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki kutoka nchini Ufaransa wa miondoko ya RNB TayC. Mimi naitwa Ali Bilali Bienvenue.06/08/202219:54 -
Tamaduni ya mambo mbalimbali ya Rwanda
Ni furaha tele kukutana nawe kwa mara nyingine tena katika makala haya ya Changu Chako Chako Changu, ambapo leo nakuletea tamaduni mbambali za watu wa Rwanda, na kwenye kipengele cha le Parler Francophone nitakuletea tamati ya maonyesho ya sarakasi za siasa, yaliofanyika Alliance francaise ya Nairobi na kwenye Muziki tutamuangazia mwanamuziki kutoka nchini Rwanda Andy Bumuntu. Mimi naitwa Ali Bilali Bienvenue.30/07/202220:07 -
Historia ya Ufalme wa Bushi, huko Kivu kusini,
Ni jumapili nyingine tunakutana tena katika Makala haya ya changu chako Chako Changu, leo nakuletea historia ya Ufalme wa Bushi, huko Kivu kusini, kwenye kipengele cha le parler francophone nitakuletea sehemu ya maonyesho ya picha za sarakazi za siasa, na kwenye muziki kama nilivyokuahidi juma lililopita nitakuletea mwanamuziki Mbili Bele katika sehemu ya pili na mwenzangu Benson Wakoli, mimi naitwa Ali Bilali, Bienvenu, ama Karibu.25/07/202220:06 -
Historia ya mapinduzi ya Ufaransa la bastille day julay 14
Karibu kuungana na mi katika Makala haya ya changu chako chako changu, ambapo leo nakuletea Historia ya mapinduzi ya Ufaransa, na kwenye kipengele cha le parler francophone nitakuletea mahojiano na mjoraji katika maonyesho yajulikanayo kama Sarakasi za siasa Alliance francaise ya Nairobi na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Mbilia Bele aliezungumza na mwenzangu Benson Wakoli wakati wa ziara yake jijini Nairobi. Mimi naitwa Ali Bilali, Bienvenue.17/07/202220:23 -
Historia ya kiswahili duniani na maadhimisho yake kwa mara ya kwanza
Karibu msikilizaji kuwa nami Jumapili hii katika Makala haya ya Changu Chako Chako Changu, leo nakuletea Historia ya Kiswahili ambayo imeanza kuadhimishwa kwa mara ya kwanza mwaka huu Julay 7 kote duniani, nitakuletea pia ratiba ya shughuli za kitamaduni kutoka Centre culturel francais ya huko Kigali na kwenye Muziki nitakuletea sehemu ya Tamasha la mwanamuziki Lafouine alioifanya huko Kigali nchini Rwanda Juma lililopita. Mimi naitwa Ali Bilali Bienvenue.08/07/202219:52 -
Makala haya yanakueleza kuhusu historia ya jumuiya ya nchi za madola
Karibu katika makala haya ya Changu Chako Chako Changu Jumapili hii tunazungumzia kuhusu historia ya Jumuiya ya Madola ama Commonwolth na kwenye kipengele cha Muziki tutazungumzia kuhusu namna sherehe za siku kuu ya Muziki zilizofanyika katika maeneo mbalimbali. Naitwa Ali Blali Bienvenue, ama Karibu.08/07/202220:04
Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.