Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mkuu wa majeshi ya Kenya Francis Ogolla aaga dunia, ziara ya wajumbe wa EU DRC

Imechapishwa:

Makala hii inaangazia yaliyojiri nchini Kenya na kifo cha mkuu wa majeshi ya nchi hiyo KDF aliyepoteza maisha na maafdisa wengine tisa wa jeshi katika ajali ya helikopta Alhamisi Aprili 18, rais William Ruto alitangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa, mgomo wa wafanyabiashara huko Kampala Uganda, ziara ya ujumbe wa Umoja wa Mataifa na EU huko Goma kutathmini hali ya kibinadamu kwa waliokimbia mapigano ya M23, Senegal, pia Togo kuhusu ziara ya ujumbe wa ECOWAS, lakini pia mashambulio kati ya Iran na Israel.

Mkuu wa majeshi ya Kenya Jenerali Francis Omondi Ogolla (katikati) akionyesha ishara wakati ziara ya Mfalme wa Uingereza Charles III (hayuko kwenye picha) na Rais wa Kenya William Ruto (haonekani) wakiwasili kwenye kaburi la Shujaa Asiyejulikana wakati wa hafla ya kuweka shada la maua katika bustani ya Uhuru jijini Nairobi mnamo Oktoba 31. 2023.
Mkuu wa majeshi ya Kenya Jenerali Francis Omondi Ogolla (katikati) akionyesha ishara wakati ziara ya Mfalme wa Uingereza Charles III (hayuko kwenye picha) na Rais wa Kenya William Ruto (haonekani) wakiwasili kwenye kaburi la Shujaa Asiyejulikana wakati wa hafla ya kuweka shada la maua katika bustani ya Uhuru jijini Nairobi mnamo Oktoba 31. 2023. © Tony Karumba, AFP
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.