Pata taarifa kuu
ULAYA-SOKA

UEFA yaachana na mpango wa kuzichukulia hatua klabu za Juventus na Real Madrid

Shirikisho la soka barani Ulaya, linasema limeachana na harakati za kuichukulia hatua za kisheria klabu za Barcelona, Juventus na Real Madrid kwa kuendelea kujihusisha na mpango wa uundwaji wa ligi mpya, iliyopewa jina European Super League.

Wachezaji wa kikosi cha Juventus wakifurahia ushindi wao.
Wachezaji wa kikosi cha Juventus wakifurahia ushindi wao. Alberto PIZZOLI AFP
Matangazo ya kibiashara

Klabu nyingine tisa, ziliamua kujiondoa kwenye mpango huo, baada ya UEFA kuonya kuzichukulia hatua kwa kile ilichosema, ligi hiyo itaharibu soka barani Ulaya.

Hii imekuja baada ya Mahakama mjini Madrid kuiambia UEFA kuwa, isiadhibu klabu hizo tatu.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.