Nyumba ya Sanaa
Nyumba ya Sanaa ni Makala ya Utamaduni ambayo inatoa fursa kwa wasanii na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo la kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni uliopo, tukizingatia maisha ya kisasa na utandawazi kwa ujumla.
Soma yanayofuataSikiliza kipindi kilichopita
-
FIlamu na vichekesho Tanzania
Katika makala haya msikilizaji utasikia mengi kuhusu sanaa ya filamu na vichekesho kutoka kwa wasanii wa Timamu African Media ya Dar es Salaam Tanzania kama Ebitoke, Bwana Mjeshi na Mr. Beneficial , karibu29/10/201722:20 -
Sanaa ya Ubunifu wa mavazi
Katika makala haya utasikia mengi kuhusu sanaa ya ubunifu wa mavazi kutoka kwa mbunifu wa Tanzania Manju Msita, Karibu01/10/201718:27 -
Dazla Msanii wa kizazi kipya na ndoto za kuiwakilisha Pwani ya kenya kimataifa
Kutana na msanii Dazla mwenyeji wa Mombasa Pwani ya Kenya ambaye amepania kuiwakilisha kaunti yake kimataifa kupitia muziki wa kizazi kipya.08/09/201720:15 -
Sam Luhende;mtayarisha muziki anayejivunia kuwang'arisha wasanii wakubwa wa muziki Tanzania
Sanaa ya utengenezaji na utayarishaji wa muziki si ngeni masikioni mwa waliowengi,leo makala ya nyumba ya sanaa imemtembelea mtayarishaji wa muziki jijini Dar es salaam Sam Luhende,ambaye kazi zake ziliwang'arisha waimbaji kadhaa na kujulikana nje ya mipaka ya Tanzania...23/08/201721:16 -
Kutana na Dr Meddy mchora vibonzo mwenye ndoto kubwa
Sanaa ya vobonzo happo kitambo haikuwa na uwanja mpana wa manufaa kama ilivyo leo,Maendeleo na ubunifu vimefanya sanaa hii kuwa ajira,burudani na njia ya kuelimisha jamii.Msanii Dr Meddy kijana wa kitanzania anayetumia kalamu kuchora vobonzo anaeleza ndoto zake kupitia sanaa hii...23/08/201721:35 -
Jamii na sanaa
Katika makala haya utamskia msanii Hamis Magesa Ramadhan au Mac Fish akizungumzia suala la uzalendo katika wimbo wake mpya uitwao Mzalendo, ambao unampongeza pia rais wa Tanznaia kwa moyo wa uzalendo kwa taifa hilo. karibu.20/08/201720:39 -
Sanaa inavyotumiwa kuhimiza amani nchini Kenya
Kenya na Rwanda, zinajiandaa kuwa na Uchaguzi Mkuu mwezi Agosti mwaka 2017. Mwanamuziki wa Kenya Natty OJ mwenye makaazi yake mjini Mombasa, amezindua wimbo maalum wa kuhimiza amani nchini humo kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu. Amezungumza na Martha Saranga.29/07/201721:24 -
Muziki wa kizazi kipya
Katika makala haya kutana na Msanii wa muziki wa Kizazi Kipya Salim Mangija na ufahamu mengi kuhusu yeye na kazi zake za sanaa ya muziki wa kizazi kipya, karibu.01/07/201721:35 -
Lidya Paul Msanii chipukizi katika muziki wa injili na ndoto ya kuigusa jamii
Kutana na msanii anayechipukia katika sanaa ya muziki wa Injili nchini Tanzania Lidya Paul.Ametembelea Rfikiswahili kuzungumzia sanaa yake akijiandaa kuzindua album ya kwanza aliyoita Asante.Karibu24/06/201720:52 -
Sanaa ya ubunifu wa mapambo ya ndani
Katika makala haya utafahamu kuhusu sanaa ya ubunifu wa mapambo ya ndani na jinsi ya kutimiza ndoto zako za kuwa mbunifu wa kimataifa, Karibu17/06/201720:47 -
Sanaa ya utunzi wa nyimbo
Leo katika makala haya utasikia kuhusu sanaa ya utunzi wa muziki kupitia kwa msanii Samata A wa Tanzania03/06/201721:52 -
kazi ya vyombo vya muziki katika sanaa
Katika Makala haya utafahamu kuhusu sanaa ya upigaji vyombo vya muziki na namna ambavyo vinatumika katika sanaa , ungana na mwalimu Davidi Mangare kufahamu mengi.03/06/201720:35 -
Sanaa ya utunzi wa nyimbo
Katika makala haya leo nakuletea msanii Samata A wa Tanzania akielezea sanaa ya utunzi wa muziki, karibu03/06/201721:52 -
Sanaa ya ushonaji nguo
Katika makala haya leo utafahamu kuhusu sanaa ya ushonaji nguo na changamoto zake, karibu03/06/201717:55 -
Sanaa ya muziki katika kufikisha jumbe mbalimbali
Katika makala haya hii leo kutana na msanii Viva Wakuwaku wa Tanzania anayetamba na kibao "Nakuhitaji" na utafahamu alivyoanza safari ya muziki hadi alipo hivi sasa pamoja na changamoto zinazomkabili kama msanii chipukizi. Karibu03/06/201721:18
Nyumba ya Sanaa ni Makala ya Utamaduni ambayo inatoa fursa kwa wasanii na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo la kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni uliopo, tukizingatia maisha ya kisasa na utandawazi kwa ujumla.