Nyumba ya Sanaa
Nyumba ya Sanaa ni Makala ya Utamaduni ambayo inatoa fursa kwa wasanii na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo la kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni uliopo, tukizingatia maisha ya kisasa na utandawazi kwa ujumla.
Soma yanayofuataSikiliza kipindi kilichopita
-
Sanaa ya muziki wa reggae katika tamaduni za kiafrika na manufaa yake
Makala ya nyumba ya sanaa imeangazia sanaa ya muziki wa reggae kutoka DRC ambapo pamoja na mwanamuziki Black Sadja Mayani tumeangazia manufaa ya muziki huu katika kukuza tamaduni za kiafrika na urithi wa mababu zetu.Ungana na mwandishi wetu Steaven Mumbi kusikiliza zaidi20/11/202120:00 -
Uandishi wa vitabu nchini Tanzania
Umahiri katika Sanaa ya Utunzi wa Vitabu, inabebwa na Maudhui yalimo ndani ya kitabu inawaje Jina la kitabu ndio husadifu yaliyomo katika kurasa za kitabu hicho. Kutana na Ismaily Him Mtunzi wa Vitabu Tanzania, Mtunzi wa Vitabu Usasa Usasambu, Wakilia Wanacheka majina ya Vitabu yanayovutia.23/10/202120:12 -
Sanaa ya muziki wa injili Tanzania - Ambwene Mwasongwe
Mbwene Mwasongwe ni miongoni mwa waimbaji wa nyimbo za injili waliofanikiwa kuivusha Sanaa hiyo kutoka kuwa na wapenzi wa aina moja na kuwa wa aina mbalimbali, sasa Sanaa hiyo imefanikiwa kuwatia moyo na hata kufufua matumaini kwa waliokata Tamaa. Ungana na Steven Mumbi katika makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumza na Ambwene Mwasongwe.18/10/202120:06 -
Sanaa ya Muziki na uchekeshaji nchini Tanzania
Wiki hii, mwandishi wetu Steven Mumbi anaangazia sanaa ya muziki na uchekeshaji nchini Tanzania09/10/202119:59 -
Masaibu ya wasanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania
Wasanii chipukizi wa muziki wa kizazi kipya wanalazimika kusafiri kutoka mikoa iliyopembezoni kuja jijini Dar es salaam ili kufanikisha safari yao kimuziki, Ramso High alilazimika kusafiri Kutoka Kigoma kuja jijini ili kufanikiwa kimuziki, swali ni je amefanikiwa?Ungana na mwandishi wetu Steven Mumbi akizungumza na msanii huyo katika Makala ya Nyumba ya Sanaa.------04/10/202120:02 -
Sanaa ya muziki Tanzania - Ramso High
Wasanii chipukizi wa muziki wa kizazi kipya wanalazimika kusafiri kutoka mikowa iliyopembezoni kufika jijini Dar es salaam ili kufanikisha safari yao kimuziki. Ramso High alilazimika kusafiri Kutoka Kigoma kuenda jijini ili kufanikiwa kimuziki, swali ni je amefanikiwa?Ungana na Steven Mumbi akizungumza na Msanii huyu katika makala ya nyumba ya Sanaa02/10/202120:02 -
Sanaa ya Muziki - Mzungu Kichaa
Mzungu kichaa, anafanya muziki wa aina gani ? skiza makala haya28/09/202120:09 -
Sanaa ya muziki wa kizazi kipya - Kelvin Isidori Benjamin
Stephen Mumbi anazungumza na msanii Isidori, maarufu Kzuu28/09/202120:20 -
20:03
-
Sanaa ya ucheshi - Mr Pimbi ( Meya Shaban )
Fahamu mengi kuhusu sanaa ya ucheshi ambapo mwanahabari Stephen Mumbi anazungumza na Mugizaji Meya Shaban, maarufu Mr Pimbi.27/09/202120:04 -
Sanaa ya nyimbo za injili - Christina Shusho
Katika makala haya Stephen Mumbi , anasema naye msanii wa nyimbo za injili tajika kutoka Tanzania, Christina Shusho.31/08/202120:09 -
Hawa Mayoka ,maarufu Hawa Nitarejea, afunguka kuhusu safari yake ya muziki
Ni msanii aliyeshirikishwa katika wimbo wa kwanza wa Nasib Abdul maarufu Diamond Platinamuz unaoitwa Nitarejea, alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na Diamond wakati akirekodi ngoma hiyo, sasa nini kinafuata? Ungana na Steven Mumbi katika makala haya ya Nyumba ya Sanaa akizungumza nae kuhusu Safari yake ya Muziki akiwa na Kbao Kipya Naelewa.21/08/202120:02 -
Sanaa ya mapambo - Medilama Robert
Urembo ni Sanaa nyingine inayowapa hadhi na Mvuto wasichana, Mbali na uzuri walio nao, uvaaji wa bangili hereni , Vvdani unaongeza kiwango cha Urembo, Medilama Robert ni mbunifu wa Urembo hasa kwa wakina dada. Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumza na Medilama Robert.16/08/202120:22 -
Sanaa ya majukwaani - Chimwenda Wilsaon
Wasanii wa sanaa za majukwaani nchini Tanzania walia na ukosefu wa ajira hivyo kutumbukia katika kufanya kazi mbadala licha ya kusomea fani hiyo hadi ngazi ya Shahada,Ungana na Steven Mumbi akizungumza na Chimwenda Wilsaon msanii wa Sanaa za jukwaani nchini humo.15/08/202120:22 -
Sanaa ya uchoraji - Bikengu Iganze
Katika makala haya Bikengu Iganze anaeleza zaidi kuhusu sanaa ya uchoraji .14/08/202120:05
Nyumba ya Sanaa ni Makala ya Utamaduni ambayo inatoa fursa kwa wasanii na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo la kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni uliopo, tukizingatia maisha ya kisasa na utandawazi kwa ujumla.