Nyumba ya Sanaa
Nyumba ya Sanaa ni Makala ya Utamaduni ambayo inatoa fursa kwa wasanii na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo la kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni uliopo, tukizingatia maisha ya kisasa na utandawazi kwa ujumla.
Soma yanayofuataSikiliza kipindi kilichopita
-
Fresh Jumbe mwanamuziki wa dansi nchini Tanzania
Miongoni ma wanamuziki wa muziki wa dansi waliofanikiwa kwenda barani Ulaya ni pamoja na Fresh Jumbe, baada ya kufanya sanaa hiyo kwa miaka mingi nchini Japan sasa amerejea Tanzania, Ungana na Steven Mumbi katika makala ya nyumba ya sanaa akizungumza na msanii huyo.02/12/202320:19 -
Amina Ahmed Muigizaji wa Filamu nchini Tanzania
Amina Ahmed Mzee Muigizaji wa Filamu nchini Tanzania anasema Rushwa ya Ngono imewaathiri wasichana kushindwa kufanya kazi zao kwa ufasaha.18/11/202320:04 -
Innocent Msigwa maarufu Chancellor msanii wa muziki wa kizazi kipya Tanzania
Diamond Platinumz ni miongoni mwa wasanii wa Tanzania walimvutia kufanya sanaa hiyo, Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa11/11/202320:04 -
Muziki wa dansi na Fredrick Fulmeradius
Muziki wa Dansi unachukua sura mpya baada ya Vijana waofanya muziki wa aina nyingine kugeukia muziki huu, Steven Mumbi amezungumza naye Fredrick Fulmeradius04/11/202320:04 -
Sanaa ya Muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania
Brenda Fassie ni Miongoni mwa Wasanii walioibua kipaji cha Msanii Pilisila Said maarufu Akanana,baada ya kupotea kwa muda wa miaka zaidi ya 15 sasa amereja na Albam, Ungana na Steven Mumbi Katika Makala ya Nyumba ya Sanaa.28/10/202320:04 -
Wazazi chanzo cha Wasichana kutofanya Muziki Tanzania
Wazazi chanzo cha Wasichana kutofanya Muziki Tanzania, Steven Mumbi anazungumza na Zulfa Mohamed maarufu Xoul21/10/202320:08 -
Nuni Imam Suleiman ni msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania
Anasema wizi wa kazi za sanaa unawarudisha nyuma wasanii na hivyo kuathiri kazi zao.Ungana na Steven Mumbi katika makala ya nyumba ya sanaa akizungumza na msanii huyo.14/10/202320:10 -
Tamasha la Marafiki Music Festival linalofanyika jijini Dar es Salaam
Tamasha hilo limeanza nchini Tanzania mwishoni mwa juma hili likiwakutanisha wasani mbalimbali wa muziki.07/10/202320:05 -
20:11
-
Ucheshi ni Sanaa nyingine inayokua kwa kasi nchini Tanzania
William Lukui Maarufu Kidogo Ze Zero anaibuka na Mpango Mpya ya Kukuza Sanaa hiyo23/09/202320:13 -
Makubaliano kati ya Tanzania na Ufaransa kuhusu ukuzaji wa sanaa
Wasanii wa Muziki wa Singeli wafurahia kupewa Msaada na Serikali ya Ufaransa ili kuinua kazi zao kimataifa, Ungana na Steven Mumbi akiangazia namna fedha hizo zitakavyowasaidia kubadili Sanaa zao.26/08/202320:10 -
Tommy Thomas Msanii wa HIP HOP nchini Tanzania
Tommy Thomas Msanii wa HIP HOP anasema Muziki wake unapenya kutokana na aina ya Mashairi anayotunga, Steven Mumbi amezungumza naye katika Makala haya ya Nyumba ya Sanaa.19/08/202320:01 -
TMK Maandishi 3 wamedhamiria kubadili mtizamo kuhusu Muziki wa kizazi kipya
Mwandishi wa Dar es Salaam Steven Mumbi amezungumza naye Moses Francis maarufu Doro ambaye ni miongoni mwa wale waliounda TMK12/08/202320:06 -
Muziki wa Reggae nchini Tanzania
Muziki wa Reggae ni Sanaa iliyofifia nchini Tanzania, miongoni mwa sababu zinazotajwa ni pamoja na kudorora kwa matamasha ya muziki huo, Steven Mumbi anazungumza na Paul Mihambo mwanamuziki wa Reggae nchini humo.05/08/202320:01 -
20:05
Nyumba ya Sanaa ni Makala ya Utamaduni ambayo inatoa fursa kwa wasanii na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo la kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni uliopo, tukizingatia maisha ya kisasa na utandawazi kwa ujumla.