Pata taarifa kuu
SOKA-AFYA

Wachezaji Atletico Madrid na mkufunzi wao wapatikana na virusi vya Corona

Kocha wa klabu ya Atletico Madrid nchini Uhispania, Diego Simeone na mshambuliaji Antoine Griezmann wamepatikana na maambukizi ya Covid-19.

Kocha wa Atletico Madrid ya Argentina, Diego Simeone, katika mkutano na waandishi wa habari kwenye uwanja wa Wanda Metropolitano huko Madrid, usiku wa kuamkia mechi ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Liverpool mnamo Februari 17, 2020.
Kocha wa Atletico Madrid ya Argentina, Diego Simeone, katika mkutano na waandishi wa habari kwenye uwanja wa Wanda Metropolitano huko Madrid, usiku wa kuamkia mechi ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Liverpool mnamo Februari 17, 2020. JAVIER SORIANO AFP/Archives
Matangazo ya kibiashara

Wawili hao ni miongoni mwa watu watano waliopatikana na virusi hivyo pamoja na Koke, Hector Herrera pamoja  Joao Felix ambao wamejitenga.

Wapinzani wao Barcelona nao pia wamethibitisha kuwa, visa vitatu vimeripotiwa katika kambi yao, na kufikisha idadi ya wachezaji ambao wameammbukizwa kufikia tisa.

Miongoni mwa wachezaji hao ni pamoja na Sergino Dest, Philippe Coutinho and Abde Ezzalzouli join the list of players infected, the club said, after Ousmane Dembele, Clement Lenglet, Samuel Umtiti, Jordi Alba, Gavi and Dani Alves tested positive.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.