SUDANI KUSINI-KIIR-MACHAR-MAZUNGUMZO-USALAMA
Mazungumzo ya amani Sudani Kusini yaendelea
Mazungumzo ya amani kuhusu nchi ya Sudan Kusini, yapo katika dakika za lala salama jijini Addis Ababa nchini Ethiopia.
Imechapishwa:
Cheza - 02:06
Matangazo ya kibiashara
Alhamisi wiki hii, rais Salva Kiir na kiongozi wa waasi Riek Machar wanatarajiwa kutia saini mkataba wa amani na kuunda serikali ya pamoja, wakati huu Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa likitipisha azimio la kuwawekea vikwazo viongozi hao ikiwa mkataba huo utavunjika.