Pata taarifa kuu
UCHAGUZI-DEMOKRASIA

Uchaguzi Mkuu nchini India kufanyika kuanzia Aprili 19 hadi Juni 1

Huu utakuwa uchaguzi mkubwa zaidi kuwahi kufanyika duniani. Nchini India, Tume ya Uchaguzi iMEtangaza tarehe ya uchaguzi mkuu leo Jumamosi. Kura hiyo itadumu kuanzia Aprili hadi mwanzoni mwa mwezi Juni na matokeo yatajulikana Juni 6, 2024. Waziri Mkuu Narendra Modi anapendekezwa kwa muhula wa tatu mkuu wa nchi hiyo yenye watu wengi zaidi duniani.

Mbele ya kituo cha kupigia kura huko Calcutta, Aprili 2021.
Mbele ya kituo cha kupigia kura huko Calcutta, Aprili 2021. REUTERS - RUPAK DE CHOWDHURI
Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.