Pata taarifa kuu

Serikali ya Kenya yatiwa hofu na homa ya ini Mombasa

Serikali ya kaunti ya Mombasa nchini Kenya imeripoti kuzuka kwa mkurupuko wa maambuzi ya homa ya ini au Hepatitis A na kuwatahadharisha wakazi wa kaunti hiyo kuwa makini kutokana na maradhi hayo.

Eneo la mji wa zamani wa Mombasa, Kenya.
Eneo la mji wa zamani wa Mombasa, Kenya. Getty Images/Luis Davilla
Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.